Huu ujumbe unasambaa sana kwenye mitandao wiki hii

heradius12

heradius12

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2011
Messages
9,021
Likes
11,674
Points
280
heradius12

heradius12

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2011
9,021 11,674 280
Jamani naombeni niwape warning...

Tafadhalini sana msiforward kabisa message za kisiasa ziwe za ndani ya nchi au nje au message zozote za kashfa. Lawyer mmoja mahiri sana kaniambia sheria ya mtandao ni mbaya kuliko mnavyodhani. Ana kesi mbili za watu wameforward messages anasema ni mbaya mno wanatafuta namna yakuwasaidia wateja wao hawaoni namna gani wanaweza kushinda. Kaniambia never forward or kutoa comments...
Forwarded as Received...

Swali, Je hii ni mbinu ya serkal kutisha watu?
Kufowardi message ya kisiasa imekuwa ni kosa toka lini hapa Tanzania?
 
Invisble275

Invisble275

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2014
Messages
982
Likes
1,047
Points
180
Invisble275

Invisble275

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2014
982 1,047 180
Kama tumefika huko bora tuhame nchi tuwaachie wenye nayo.
Mbona mwoga hivyo Mkuu?
Uhame nchi utadhani ina mwenyewe?
nchi ni yetu sote, tutabanana hapa hapa. Huyo anayedhani kupewa nafasi ya kuongoza basi ameishakuwa mwenye nchi anajidanganya tu.
 
Kimbunga

Kimbunga

Platinum Member
Joined
Oct 4, 2007
Messages
13,513
Likes
2,461
Points
280
Kimbunga

Kimbunga

Platinum Member
Joined Oct 4, 2007
13,513 2,461 280
Jamani naombeni niwape warning...

Tafadhalini sana msiforward kabisa message za kisiasa ziwe za ndani ya nchi au nje au message zozote za kashfa. Lawyer mmoja mahiri sana kaniambia sheria ya mtandao ni mbaya kuliko mnavyodhani. Ana kesi mbili za watu wameforward messages anasema ni mbaya mno wanatafuta namna yakuwasaidia wateja wao hawaoni namna gani wanaweza kushinda. Kaniambia never forward or kutoa comments...
Forwarded as Received...

Swali, Je hii ni mbinu ya serkal kutisha watu?
Kufowardi message ya kisiasa imekuwa ni kosa toka lini hapa Tanzania?
Mkuu unauliza swali wakati umeona mwanasheria anasema ni hatari na anatafuta jinsi ya kuwasaidia wateja wake ambao wamefanya hivyo?
 
I

Incredible

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Messages
965
Likes
1,021
Points
180
I

Incredible

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2012
965 1,021 180
Acha woga. Sheria ya mitandao inapingana na katiba. Hivyo mwisho wa yote katiba will superced
 
MOTOCHINI

MOTOCHINI

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2014
Messages
24,842
Likes
13,877
Points
280
MOTOCHINI

MOTOCHINI

JF-Expert Member
Joined Jan 20, 2014
24,842 13,877 280
Sio "ushughurikiwe" ni ushughulikiwe. Humu jf nadhani kuna watu wengi sio raia na kiswahili kinawapiga chenga.
Kiswahili na uraia wapi na wapi?
 
Forum statistics

Threads 1,273,284
Members 490,351
Posts 30,476,952