Huu ugonjwa kwenye pilipili hoho unazuiwa na kutibiwaje?

Zero Hours

JF-Expert Member
Apr 1, 2011
12,948
18,648
Wakuuu. Ninampango wa kulima hekar 1 ya hoho. Nimejaribu kupanda miche 500 kwa mara ya kwanza mavuno yalikuwa mazur na mengi. Nikajaribu tena kwa mara ya pili kutumia hybrid seeds (Tycoon) nimeishia kupata matunda kama 500 tu kati ya miche 500.

b63f48c91f36558db36b8930b5d3033f.jpg

f737c9d0fccd88b914c9d0d159932800.jpg
6aa8059002f46ec20468ae5d96904478.jpg

68451cb9f2f1df4fd2af47f5be6d6c44.jpg

816e8fbb2a070fb59a859fbd5ce2b92b.jpg

47cd46293fb6378a3257f3778f3e5e9e.jpg

Huu ugonjwa nimegundua unasambaa kwa kasi sana na unasumbua wakulima wengi wa hoho hapa nchini na ndyo umefanya pilipili hoho kupanda bei. Mwanza 50kg bag ya hoho imefika had 40,000tsh.

Hata kwenye green house hauzuiliki.

Nimefatilia hata wakulima wataharamu kama Kibo ambao hupanda hoo kwenye viwanja vya maonyesho ya nane nane nao wameshindwa kuzipitisha.

Mwenye idea yeyote na huu ugonjwa hebu tusaidiane.

Nilichogundua mpaka sasa hizi hoho zinashambuliwa na ugonjwa unaitwa " Leaf Curl" na " Root knot nematodes"

Pia hili tatizo linasumbua sana kwenye nchi za wenzetu kama India na kenya.
 
Okay mkuu pole sana ila unamatatizo rahisi saaanna hayo
Kunyauka unaweza kua sababu ya
1.nematodes
2.fusarium wilt(fungus)
3.bacterial wilt
Uzur umegundua wako ni root knot nematodes hao wanatibiwa / kuuliwa kwa furadan ila bahati mbaya imefungiwa sababu inakaa sana shamban mpaka kwenye tunda inaathir mlaji,hivyo unaoption mbili kwanza weka mbolea nyingi ya samadi mmea upate madini yote uwe na afya,pili panda maua ya marigold upande shamban kwako yanafukiza hao root knot nematodes
Majani kujikunja ni effect ya mites ,hao unatibu dawa yoyote yenye abamectin mfank dynamec,balton abamectin ,abamectin etc,ila hizo dawa zina asili ya spirit usipige kukiwa na jua kali ,ukizingatia hayo unavuna peppers bila shida ndugu
 
Duhh aisee Nondo za maana
Blessed
 
Mkuu nashukur kwa ushaur wako mzur. Nilifatlia kuhusu kupanda malgold ila inasemekana malgold inabid ipandwe miez 2 had 3 kabla ya kuweka hoho. Miche yangu after 3 weeks natransplant. Je nikipanda wakati huu itasaidia.

Nasikia pia Muarobain (neem) inaweza saidia pia!
 
Marigold inatakiwa siku miche inaenda shambani nayo unaitransplant sema hujachelewa ndugu maana pili pili ushambuliwa saana ikianza kuzaa so still you have time
 
Mkuu afadhali umegundua hilo. Hebu jaribu kutengeneza insecticides ya NICOTINICIDAL. Hii ni nzuri kwa kuwa inaokoa gharama kwa kutengeneza mwenyewe. Sumu hii hutokana na tumbaku na haina effect kwa mlaji.
 
Tumbaku kawaida ina mosaic akiihamishia kwenye hoho ndio mwisho wa maelezo

Okay mkuu pole sana ila unamatatizo rahisi saaanna hayo
Kunyauka unaweza kua sababu ya
1.nematodes
2.fusarium wilt(fungus)
3.bacterial wilt
Uzur umegundua wako ni root knot nematodes hao wanatibiwa / kuuliwa kwa furadan ila bahati mbaya imefungiwa sababu inakaa sana shamban mpaka kwenye tunda inaathir mlaji,hivyo unaoption mbili kwanza weka mbolea nyingi ya samadi mmea upate madini yote uwe na afya,pili panda maua ya marigold upande shamban kwako yanafukiza hao root knot nematodes
Majani kujikunja ni effect ya mites ,hao unatibu dawa yoyote yenye abamectin mfank dynamec,balton abamectin ,abamectin etc,ila hizo dawa zina asili ya spirit usipige kukiwa na jua kali ,ukizingatia hayo unavuna peppers bila shida ndugu

Mkuu asante sana kwa elimu nzuri sana.. tafadhali naomba nisaidie hoho zangu zinatoa maua vizuri tu baada ya cku 2 au 3 yananyauka, nimeleta bwana shamba kaniambia n ukungu, nipige theovit, na super gro, na abamectim. lkn ndugu tatizo bado pale pale.. nisaidie nifanyaje?
 
Mkuu afadhali umegundua hilo. Hebu jaribu kutengeneza insecticides ya NICOTINICIDAL. Hii ni nzuri kwa kuwa inaokoa gharama kwa kutengeneza mwenyewe. Sumu hii hutokana na tumbaku na haina effect kwa mlaji.

Unatengenezaje? Vipimo?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom