Huu sio ufisadi pia? Naomba msaada. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huu sio ufisadi pia? Naomba msaada.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mbaliche, Jul 18, 2011.

 1. Mbaliche

  Mbaliche JF-Expert Member

  #1
  Jul 18, 2011
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 292
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Nimetafakari kwa muda mrefu sana lakini sipati jibu, kuhusu makampuni ya simu hapa nchini, kuzitumia nyimbo za wasanii kama caller tone kwa wateja wao, na kukatwa kiasi cha pesa kwa kila wimbo utakao hitaji. Je, wa miliki wa hizo nyimbo wana fadikaje? Naomba kama kuna mhusika na swala hili ndani ya Jf atufahamishe, awe msanii au mhusika kwenye kampni ya sim.
   
 2. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #2
  Jul 18, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,147
  Likes Received: 3,335
  Trophy Points: 280
  Kweli kabisa.
   
 3. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #3
  Jul 18, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mimi nadhani wana makubaliano rasmi vinginevyo wanaweza kudaiwa pesa ambazo zitawafanya wafilisike.

  Ila sasa hii post hapa si mahala pake ni vyema ikahamishwa!!
   
Loading...