DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 31,737
- 81,808
hakuna namna hapo, labda aanze na serikali ya wanafunzi wa chuo
umenikumbusha kisa kimoja hivi mabibo campus
jamaa yupo room anatia msuli, akijua mtihani ni saa 8 mchana ( 08:30 hrs )
kumbe ni saa 2 asubuhi, jamaa ni disco moja kwa moja
alipiga magoti sana utawala kule, haikusaidia
Aisee inauma,hivi kwanini Hawa watu Huwa hawafikirii kwamba kunakusahauhakuna namna hapo, labda aanze na serikali ya wanafunzi wa chuo
umenikumbusha kisa kimoja hivi mabibo campus
jamaa yupo room anatia msuli, akijua mtihani ni saa 8 mchana ( 08:30 hrs )
kumbe ni saa 2 asubuhi, jamaa ni disco moja kwa moja
alipiga magoti sana utawala kule, haikusaidia
ni UD mzee, na ilikua UE, kwanza ukizidi nusu saa tu baada ya pepa, ndiyo kwa heriHiyo ilikuaje ina Maana kulikuwa hakuna special exam?
ni kosa, kwenye kosa hakuna kusahau mkuuAisee inauma,hivi kwanini Hawa watu Huwa hawafikirii kwamba kunakusahau
Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
ni UD mzee, na ilikua UE, kwanza ukizidi nusu saa tu baada ya pepa, ndiyo kwa heri
ukikosa paper kwa sababu ya ajabu ajabu, ni INCOMPLETE, disco moja kwa mojaHata Kama ni UE usipofanya si Kuna special ambayo hufanyika siku za Sup.? Itakuwa chuo cha UD sheria zake ni Kama primary maana siku ya EU kuna ambao wanaumwa au dharula za hapo na pale . Inasikitisha Sana.
Asante mkuuSheria haisemi aina ya simu, inasema tu simu. Kwahiyo hapo kuchomoka ngumu.
Ushauri:
Mwambie akate rufaa ya hiyo hukumu (rufaa inakuaga ikatwe ndani ya week mbili tokea hukumu) hapo case yake itapelekwa kwenye bodi ya chuo.
Hapo mara nyingi uwa case inapunguzwa na kufutiwa somo au kuambiwa arudie hiyo semester.
Ikifeli na hapo anaweza kukata tena rufaa na sasa case ikasikilizwa na mahakama.
Kupokea na kutuma msg ya maswali yaliyopo kwenye paper yakatoka nje na kurudi tena chumba cha mtihani kufanya calculations nk
Sema tu ni wewe Ili usaidiwe..Kuna baadhi ya watu wamekosa kabisa ubinadamu na kujiona wao ni watu waliosahihi na hawatawahi kukosea.
ipo hivi Kuna dogo anasoma Must mwaka wa tatu MUST alijisahau akaingia na simu ndogo(kiswaswadu) kweny chumba Cha mtihani lakini inavoonekana atafukuzwa chuo Kwa kosa la kuingia na simu ndan ya chumba Cha mtihani.sasa nachojiuliza hivi ni kweli binadamu wamekuwa na roho mbaya kiasi hiki ambapo simu aliyoingia nayo Haina hata uwezo wa kufungua internet Wala PDF najiuliza hata kama ni sheria hio sheria haiangalii mazingira yanayopelekea kufanyika Kwa udanganyifu kwenye mtihani
Wakuu naomba ushauri wa kumsaidia huyu bwana mdogo kwani ni mwaka wa mwisho na alikuwa anategemewa na walezi wake ambao kiukweli Wana Hali mbaya kiuchumi
Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
Ubinadamu ni upi ?Kuna baadhi ya watu wamekosa kabisa ubinadamu na kujiona wao ni watu waliosahihi na hawatawahi kukosea.
ipo hivi Kuna dogo anasoma Must mwaka wa tatu MUST alijisahau akaingia na simu ndogo(kiswaswadu) kweny chumba Cha mtihani lakini inavoonekana atafukuzwa chuo Kwa kosa la kuingia na simu ndan ya chumba Cha mtihani.sasa nachojiuliza hivi ni kweli binadamu wamekuwa na roho mbaya kiasi hiki ambapo simu aliyoingia nayo Haina hata uwezo wa kufungua internet Wala PDF najiuliza hata kama ni sheria hio sheria haiangalii mazingira yanayopelekea kufanyika Kwa udanganyifu kwenye mtihani
Wakuu naomba ushauri wa kumsaidia huyu bwana mdogo kwani ni mwaka wa mwisho na alikuwa anategemewa na walezi wake ambao kiukweli Wana Hali mbaya kiuchumi
Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
Sema tu ni wewe Ili usaidiwe..
anyway, Mimi ni lecturer hapo MUST na Ndie niliekukamata na simu.. umeona uje huku jeiefu ukidhani sipo? Hili suala nakuhakikishia ntalivalia njuga hadi ufukuzwe chuo
Nimeelezwa na huyo dogo yupo hapo MUST kama ni wewe kweli naomba umsaidie bwana mdogo.atakuwa amejifunza naamini hatorudia tenaSema tu ni wewe Ili usaidiwe..
anyway, Mimi ni lecturer hapo MUST na Ndie niliekukamata na simu.. umeona uje huku jeiefu ukidhani sipo? Hili suala nakuhakikishia ntalivalia njuga hadi ufukuzwe chuo
Nadhan waliomtoa wameweza kama wewe mkuuKwani mtu hawezi kuingia na simu akawa namtumia mtu wa nje maswali kisha akatumiwa majibu au kuandika majibu na kuyasave kwenye drafts upande wa sms?
Sheria ilishasema usiingie na simu wewe umeingia nayo ya nini?
Sio kuingia na simu.mkuu Kwa namna alivonieleza ilionyesha ilkuwa unintentionally ni katika Hali ya kujisahau.Ubinadamu ni upi ?
Aruhusiwe aingie na simu au ?
Kwanini umekuja na conclusion kuwa huo siyo ubinadamu wakati unaowashutumu hawana ubinadamu wanasimamia Sheria za Nchi? Wakilegeza mnawaona wazembe, wala rushwa na majina mabaya chungu nzima ila wakienda kwa haki mnasema ubinadamu. Sheria ni msumeno,nawe usiwe unakuja na hukumu kwa watekelezaji sheria hata kama watu wana nia ya kukusaidia wanavunjwa moyo na kauli.Nimeelezwa na huyo dogo yupo hapo MUST kama ni wewe kweli naomba umsaidie bwana mdogo.atakuwa amejifunza naamini hatorudia tena
Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app