Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,284
- 30,158
Gazeti la Guardian leo tarh 24/1/2018, front page.
Jamani mali ya umma haina mwenyewe.
Mabosi mikono kiunoni, gari ikifa, wao ni kuandika ripoti tu kujitoa lawama.
Huu si uzembe na uhujumu?
Waswahili husema , "meno yasiyo ya kwako ,hata wali ukiwa na mchanga, huna hasara"