Huu sasa ukorofi dadangu

orangutan

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
759
772
IMG-20161103-WA0015.jpg
 
teh teh teh

huyu ana bahati muheshimiwa hayuko hio wizara kwa sasa.

Angekuwa ashamfanyia ziara ya kushtukiza hapo.
 
Haahaahaaa..Tanzania nchi yanguu...Tanzania naipendaaa...heeheee HII INAONESHA TANZANIA HURU...
 
Sasa huyu siku akibomolewa povu litajaa pipa ati kaonewa, kanyanyaswa, serikali haina mapenzi na raia wake na mwenyekiti wa mtaa atamsaidia
 
Wanabahati sio bucha, huo msingi ungegeuka kua gogo la kukatia nyama. SHUBAHAMIT
 
Mdada anaijua serikali yake vizuri tu ndio maana hana wasiwasi! Anajua watakuja na matamko kama ya shisha, mashoga, ombaomba n.k na hayatakuwa na impact yoyote ile!
 
Mdada anaijua serikali yake vizuri tu ndio maana hana wasiwasi! Anajua watakuja na matamko kama ya shisha, mashoga, ombaomba n.k na hayatakuwa na impact yoyote ile!
Only in Tz
 
  • Thanks
Reactions: ydn
kama ingekuwa hifadhi ya barabara si wajenge barabara sasa.dada hatakagi ujinga ase
 
Back
Top Bottom