Wananchi mnao ishi pembezoni mwa hifadhi za Taifa acheni ukorofi haswa mbarali

zandrano

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
7,148
7,724
Wananchi wanao ishi pembezoni mwa hifadhi wamekuwa wakorofi na mara nyingi wamekuwa wakiingiza mifugo kwenye hifadhi kwa maksudi,. Sasa wakiodolewa na kufanya ukaidi ni lazima Askari wa Tanapa watembeze kichapo na kuzuia mifugo.

Nashangaa wanao laumiwa ni maafisa Tanapa na kupuuza ukorofi unao fanywa na wananchi kwa kuingiza mifugo kwenye hifadhi.

Askari wa Tanapa wanasimamia Sheria tuwaache wasimamie Sheria
 
Yanayofanyika mbarali ni unyanganyi wa maeneo ya wananchi.serikali imekuwa katili na korofi inatumia tanapa na tfs vbya
 
Back
Top Bottom