mchemsho
JF-Expert Member
- Jun 8, 2011
- 3,212
- 867
Jana sikuweza kuangalia news kutokana na pilika pilika za mjini, na usiku kama ada hatuku bahatika kupata mgao wa Jairo na Ngeleja. Nimestuka na kufadhaishwa sana baada ya kusikia redioni ETI SIMBA YATINGA BUNGENI KUTAMBULISHA NGAO YA HISANI BAADA YA KUISHINDA YANGA.
Hivi yanga si ilialikwa bungeni baada ya kushinda mashindano ya vilabu bingwa Afrika mashariki na kati na hivyo yanga iliweza kulitangaza taifa na kuiletea sifa nchi.
Hawa Simba wamefanya nn cha ajabu? Kuifunga yanga? Bunge linapoteza muda ambao lingetumia kujadili mambo ya msingi eti kwa kuwaita simba bungeni, au kwa kuwa mwenyekiti wake ni mbunge?
Siku na mimi nikioa niombe kwenda kumtambulisha mke wangu bungeni? Mh. Makinda linda hadhi ya bunge tafadhali.