huu sasa ni Uchoyo wa kiwango cha rami

huu sasa ni Uchoyo wa kiwango cha rami

matunduizi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
9,514
Reaction score
23,511
1083982
 
Ameen.
 
imetulia hii.
 
Watu wengine bwana, mimi binafsi hata migahawa ya wazi huwa sipendi kula, kwa sababu watu wengine utakuta wameshinda njaa, au wamelala njaa, sasa wewe unakula mtu anakutazama anasononeka. Huwa naona si busara.
 
Ni Kweli Mkuu. Inatia huruma wewe unakula na kusaza wakati huo mtu mwingine anateseka kwa njaa.
 
Watu wengine bwana, mimi binafsi hata migahawa ya wazi huwa sipendi kula, kwa sababu watu wengine utakuta wameshinda njaa, au wamelala njaa, sasa wewe unakula mtu anakutazama anasononeka. Huwa naona si busara.
Na kuvaa vizuri sidhani kama unavaa kwani kuna ambao hawana uwezo wa kununua nguo nzuri hivyo wakikuona wanasononeka. Na gari pia hutakaa ununue kwani wanaobanana kwenye dala dala wakikuona watasononeka.
 
Back
Top Bottom