Huu ni utoto au utaahira?

Ukiona mwanaume hataki kukupeleka home/ghetto au hataki kukutambulisha kwa close friends and relatives, ujuwe kuwa he's using you (most of the time).

Mtu akiwa serious na wewe lazima atatamani ujuwe anapoishi, ndugu zake walau uwaone au apige simu uwasalimie, otherwise jiulize.
Not always true,watu walishapelekwa hadi maofisini kwa watu,harusini, kwa marafiki nk...kama ipo ipo tuuu na kama haipo haipo tuu
 
kuna watu wa kuwapeleka home au kuwatambulisha kwa ndugu, ila tatizo ni wachache so hatukuru:puki inahitaji kum assess huyo msichana vya kutosha ndipo akatambulishwe
 
Mtu kueleza ukweli ni tatizo, hujui kuna young generation humu inajifunza, fikiria mara mbili kabla hujajibu swali ili kufurahisha watu tu
Mimi na wewe nani anafurahisha watu.

Kama ulijua kakosea ungetumia lugha ya staha ili hiyo young generation ifaidike kwa busara zako
 
Mbona stori yako haina mtiririko unaoeleweka yaani kiufupi ni kama hujaeleweka ulikusudia kuandika nini.
 
Mimi na wewe nani anafurahisha watu.

Kama ulijua kakosea ungetumia lugha ya staha ili hiyo young generation ifaidike kwa busara zako
Katikati isikufanye usahau chanzo kiufupi hakuna anayefaidika na hichi it's better tukatoa jamvi uwandani maisha yaendelee
 
Umepata mapenzi kwa kuwa umejiwekea ka status mjini unaona aibu kumpeleka kwenu kutokana na hali halisi . Hii ni kukosa confidence ya maisha, utoto au ni utaahira?
Hio sio kukosa confidence ya maisha, sio utoto na wala sio utaahira....hio tunaita DILEMMA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom