PSL god
JF-Expert Member
- Nov 18, 2023
- 12,573
- 9,080
HahahaUmepata mapenzi kwa kuwa umejiwekea ka status mjini unaona aibu kumpeleka kwenu kutokana na hali halisi . Hii ni kukosa confidence ya maisha, utoto au ni utaahira?

Hio sio kukosa confidence ya maisha, sio utoto na wala sio utaahira....hio tunaita DILEMMA