Tyta
JF-Expert Member
- May 21, 2011
- 12,767
- 10,536
Mwambie kwasababu anafanana na sanamu la kufukuzia ndege kwenye shamba la mpunga.Just kidding
aiseeeeeeeee
Mwambie kwasababu anafanana na sanamu la kufukuzia ndege kwenye shamba la mpunga.Just kidding
ahah you ant serious
Ni huyu huyu dogo aliyesema anauza dushe lake au?
ndio huyu huyu mkuu, nashangaa hata raia wanavyohangaika kumshauri kiazi kama huyu mwenye kupotezea watu muda...
hapa ulikuwa unamaanisha nini........?
wadau kuna m'babez wa ukweli nimemtemea madini huku na kule mara akaniuliza kwanini umenipenda mimi sio mtu mwingine. . .daah nimezinda unajua imagine kama ungekua wewe ungejibu nini?
NB:Majibu fasta asee ilinimjibu nipo nae online
Aiseeeeeeeeeeee
ahah you ant serious
Jumatatu shule zinafunguliwa...