Huu ni utapeli au ni kitu gani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huu ni utapeli au ni kitu gani?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mgariga, Oct 13, 2012.

 1. Mgariga

  Mgariga Senior Member

  #1
  Oct 13, 2012
  Joined: Apr 1, 2011
  Messages: 177
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Je ni utapeli au ni namaba gani hii jamani: +255901000000 imenipigia, hii sio kawaida jamani... Naomba msaada kwa ayejua ni namba gani hii?
   
 2. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #2
  Oct 13, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,581
  Likes Received: 848
  Trophy Points: 280
  Ungeongea nae utuambie anachohitaji.
   
 3. nxon

  nxon JF-Expert Member

  #3
  Oct 13, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,149
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  ina country code ya Tanzania usiogope mkuu labda ni network operators
   
 4. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #4
  Oct 14, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  tutajuaje kama ni utapeli au la?? wakati hatufahamu hiyo huyo alie kupigia alikua anataka nini.
   
Loading...