majibu kama hayo bado yanaexist siku hizi?
1.Mwanamke unapokutana na mwanamme na majibu yako yakawa hivi
mme--- Sister hujambo?.......majibu..sijajxxxxxba nikijxxxba nitakuambia
unaelekea wapi mrembo?......majibu....ukubwani
Unaitwa nani?...........majibu........sinajina
unakaa wapi?.........majibu........kwenye kiti
mbona majibu ya mkato mwenzangu? ......majibu...mwenzio unae kwenye chuxxxpx.....je huo ni ustaarabu?
2. Mwanamme ukijibiwa nyodo/utumbo kama huo unachukua hatua gani?
duuuuuuuuu,kweli cha mtu mavi.Tatizo lako unafuata watoto uswahili, halafu domo lako limejaa maji. Unadhani utafanikiwa kweli? ndo maswali gani ya kuuliza binti hayo. Yaani unadhani kwa kumuuliza maswali mengi ndo ataingia line??
Hatufanyi hivyo siku hizi bwana, waulize wataalamu wakupe daduu rejea.
majibu kama hayo bado yanaexist siku hizi?
Ndugu uko sawa, lakini shida yako ni kwamba una spidi kali ya kufikiri kuliko kuandika!..Balance hii maneno bana!Tanzania imebadilika, hayo majibi hauka tena
Ndugu uko sawa, lakini shida yako ni kwamba una spidi kali ya kufikiri kuliko kuandika!..Balance hii maneno bana!
na wewe ungeandika ''hiki ni kiswahili?''hichi ni kiswahili?
1.mwanamke unapokutana na mwanamme na majibu yako yakawa hivi
mme--- sister hujambo?.......majibu..sijajxxxxxba nikijxxxba nitakuambia
unaelekea wapi mrembo?......majibu....ukubwani
unaitwa nani?...........majibu........sinajina