Huu ni ushenzi uliopitiliza

ikipita siku bila kuanzisha thread angalau tatu, mi ntabadili diní. We unamfaa sana shigongo.

hahahaaa lakini nyingi ni matukio ya kweli kabisa kama hili hapa
 
umelileta hapa ili iweje.
Acha uzembe..
 

we umejuaje? Uliwahi kwenda nae kama sio umbea, mwache agongwe kwani ulitaka ugonwe wewe?
 
sa atajuaje kama sio vizuri?
ni member humu?
 

Acha upumbavu wewe Mshana Mods kungu'ta BAN Huyu Jamaa Hana adabu mada gani Za kutuletea Hapa
 
tufanyaje chalii ain interested na dhambi zao
 
acha upumbavu wewe mshana mods kungu'ta ban huyu jamaa hana adabu mada gani za kutuletea hapa

hujalazimishwa kusoma! Halafu kuna jinsi ya kureport abuse, BTW mbona imekutouch sana hii post kunani?
 
Mshana uliwahi kuwauliza hao mabinti kama inawapa shida hii hali ama? Kwanini umeumia sana katika hili?
 
horsehoe najua umetoka usingizini hebu isome tena kwa makini hii post

Mshana kazi yangu ni ulinzi/sungu sungu ukipenda, kulala si moja ya majukumu yangu ya kazi...nimekuelewa...ila nasungumzia seniority Mr. Kuna mambo ambayo mtu mzima, mathalan mwenye midevu ukikuta ananung'unika (bila kujali kutukia ama kutotukia kwake) Ni lazima uwaze kwa sauti.. Kama waliotafunwa ni wakubwa kiumri achana nao, ni kihere here chao! Ni mambo yao binafsi, tukitumia muda mrefu kumnanga jamaa haibadilishi ukweli kwamba alitembea na ndugu wawili!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…