Huu ni ushenzi uliopitiliza

Huu ni ushenzi uliopitiliza

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,589
Reaction score
830,249
Jamaa mmoja hapa mtaani kwetu anakula dada mtu na mdogo wake wa kiume, huu ni udhalilishaji wa aina yake kwa mkewe na familia nzima, hata kama shemeji yako ana tabia za kishoga huwezi kutembea naye wakati dadaake ndio mke wako wa ndoa! Huu ni ufirauni uliopitiliza
 
Wewe umeshaona tatizo, umeshachukua hatua gani hadi sasa kutatua hilo tatizo?
 
Jamaa mmoja hapa mtaani kwetu anakula dada mtu na mdogo wake wa kiume, huu ni udhalilishaji wa aina yake kwa mkewe na familia nzima, hata kama shemeji yako ana tabia za kishoga huwezi kutembea naye wakati dadaake ndio mke wako wa ndoa! Huu ni ufirauni uliopitiliza

Hypothetical???
 
Sodoma na Gomorah !!next time werocord uweke na video yao kabisa
 
Jamaa mmoja hapa mtaani kwetu anakula dada mtu na mdogo wake wa kiume, huu ni udhalilishaji wa aina yake kwa mkewe na familia nzima, hata kama shemeji yako ana tabia za kishoga huwezi kutembea naye wakati dadaake ndio mke wako wa ndoa! Huu ni ufirauni uliopitiliza

Ikipita siku bila kuanzisha thread angalau tatu, mi ntabadili diní. We unamfaa sana Shigongo.
 
spare my ribs jamani khaaaa!!!!!!!!!!!!
haya sasa umeamkaje wewe lkn??
 
Jamaa mmoja hapa mtaani kwetu anakula dada mtu na mdogo wake wa kiume, huu ni udhalilishaji wa aina yake kwa mkewe na familia nzima, hata kama shemeji yako ana tabia za kishoga huwezi kutembea naye wakati dadaake ndio mke wako wa ndoa! Huu ni ufirauni uliopitiliza

hayatuhusu
 
Shetan mwenyewe hapo nae anawashangaa dhambi za ajabu mno
 
Back
Top Bottom