Huu ni ushamba mkubwa sana


Natamani kuiona hiyo movie
 

usikute huyo kaka ndo kamtoa mpaka anafikia hatua hiyo.
 
yaelekea huko ofisini kwenu kukiwa na shughuli ana kamchepuko kakeeee...ndo maana hataki jamaa afahamiane na wafanyakazi wa ofisini kwenu
 

mapenzi hayalazimishwi, ka alipendwa kipindi kile si lazima apendwe sa hizi... ushauri wa bure mwambia achape lapa kabla jumba bovu halijamuangukia
 
"Maskini akipata ------ hulia bwata" Wahenga walishasema mkuu
 
unajuaje labda jamaa ndio hapendi kujichanganya na nyie!!!!
 
Matatizo haya yapo kwa KE. mume Phd kumuoa std 7 hakuna tatizo lakin KE awe na kidigree kimoja tu kuolewa na std 7 hapo ni ishu kubwa
 
Vurugu za mapenzi hazitaisha. Magatuso na Mabaloteli wengi sana uwanjani.
 
Kuna uhusiano gani kati ya kujua kingereza na kuwa msomi??
 
Binadamu ndivyo walivyo jamaa yangu mmoja alisaidiwa sana na house girl mmoja akimhadaa kuwa atamuoa , alipopata kazi mambo yakawa poa akamtosa mbaya kuwa sio level yake

mshanajr nimecheka sana, siyo ma house girl pekee tu wengi tu wanatapeliwa
 
Last edited by a moderator:
hahahaaaa raha sanaaa...soma na wewe nyambafu...
nikomae mimi enzi hizo leo utake twende sawa...inahuu
 
Alikuwa ni level yake kwa wakati huo alipokuwa anakula vumbi na sasa hiv yupo kwenye kiyoyozi. Dont u see the difference?

safi sana umemaliza kila kitu...yu wapi@Kaizer wangu
 

kumbe msomi ni yule anayeongea kingereza....:sly::sly:
div6 never end🙁🙁
 
tatizo ni kuwa siku hizi watu wanataka ready made wanaharaka mno wanashindwa kuelewa unaweza kutengeneza chako, kama mwenzio hana elimu mpeleke shule, kama ni muonekano wake huupendi mnunulie viwalo, mtengeneze hakuna asiyetengenezeka ila wengine wanachukua muda kubadilika uvumilivu unahitajika, wanasema ukiona vya elea vimeundwa, unda vyako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…