Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 54,728
- 102,517
CCM hamuaminiani.Hata maji ya kunywa mtu wa CCM akikupa usinywe.😂😂Nilikwenda mahali kupata huduma.
Aliyenipokea ambaye baadae nikaja jua kua ni mmiliki ni dada mmoja mrembo tu.
Wakati naweka oda yangu tulipata wasaa wa kuzungumza kidogo.
Nikapewa muda wa kwenda kuchukua bidhaa yangu.
Sasa wakati wa kuichukua nikaona movements ambazo sizielewi na pia sura yake ili badilika kidogo mara moja nikahisi kutakua na tatizo.
Akaja pale na ile bidhaa yangu akaomba radhi na pia akanipa muda wa kuja kuichukua tena ikiwa imefanyiwa marekebisho.
Siku nafika pale naikuta bidhaa yangu ipo sawa kama nilivyoagiza na akaandaa na nyingine tena kama ile.
Kwakweli nilishangazwa maana kwa maisha ya sasa wema ule ulinishtua.
Nikawa nawaza, huu ni mtego?? Wema wake?? Au labda ni upendo wa kuhitaji mahusiano ??
Nilichukua kadi yake lakini nasita kumtafuta.
Shida ya wabongo.Mwenzako anajaribu ku retain customer ila customer sasa unawaza ngono na kutakwa😀😀😀
Nilikwenda mahali kupata huduma.
Aliyenipokea ambaye baadae nikaja jua kua ni mmiliki ni dada mmoja mrembo tu.
Wakati naweka oda yangu tulipata wasaa wa kuzungumza kidogo.
Nikapewa muda wa kwenda kuchukua bidhaa yangu.
Sasa wakati wa kuichukua nikaona movements ambazo sizielewi na pia sura yake ili badilika kidogo mara moja nikahisi kutakua na tatizo.
Akaja pale na ile bidhaa yangu akaomba radhi na pia akanipa muda wa kuja kuichukua tena ikiwa imefanyiwa marekebisho.
Siku nafika pale naikuta bidhaa yangu ipo sawa kama nilivyoagiza na akaandaa na nyingine tena kama ile.
Kwakweli nilishangazwa maana kwa maisha ya sasa wema ule ulinishtua.
Nikawa nawaza, huu ni mtego?? Wema wake?? Au labda ni upendo wa kuhitaji mahusiano ??
Nilichukua kadi yake lakini nasita kumtafuta.
episode ikaishia hapo hapo??Mi nliwahi penda cadet kwa duka la mrembo fulani,ikaw ndogo nikaomba anitaftie ya namna ile lakini saizi yangu, ilichukua cku kuipata ko nlipata ka mara mbili tatu ivi, cku alivyoipata alinipatia hiyo cadet na staff jeans mpya, by the time ckuwa navaa staff jeans, na mimi ukarmu ule ckuelewa na nlivyoenda uliza bei nikaambiwa 38,na nguoa nliyonunua ni 28 nikashindwa elewa, bt in future I went back and bought 3 of them kutoka dukani kwake.. it's business tactics
Dunia imebadilika sana mkuuMan!! She is doing her work, trying to retain customers like you and you are here wondering customer service you have received.
Collect yourself hiyo ni kawaida Tu au unataka tukwambie anakutaka?