Sasa yeye anaongea kwa codes sisi tutamsaidiajeHebu funguka ni huduma gani na bidhaa gani hizo???!!
Anha kumbe wewe ndio kale kajamaa kalikuwa kanalalamikaNilikwenda mahali kupata huduma.
Aliyenipokea ambaye baadae nikaja jua kua ni mmiliki ni dada mmoja mrembo tu.
Wakati naweka oda yangu tulipata wasaa wa kuzungumza kidogo.
Nikapewa muda wa kwenda kuchukua bidhaa yangu.
Sasa wakati wa kuichukua nikaona movements ambazo sizielewi na pia sura yake ili badilika kidogo mara moja nikahisi kutakua na tatizo.
Akaja pale na ile bidhaa yangu akaomba radhi na pia akanipa muda wa kuja kuichukua tena ikiwa imefanyiwa marekebisho.
Siku nafika pale naikuta bidhaa yangu ipo sawa kama nilivyoagiza na akaandaa na nyingine tena kama ile.
Kwakweli nilishangazwa maana kwa maisha ya sasa wema ule ulinishtua.
Nikawa nawaza, huu ni mtego?? Wema wake?? Au labda ni upendo wa kuhitaji mahusiano ??
Nilichukua kadi yake lakini nasita kumtafuta.
Hapana mkuu sio nyanya.Hiyo bidhaa unayotuelezea ni bidhaa gani? isijekuwa tunajadili habari za sado ya nyanya
Mteja anataka urudi tena na tenaMteja au mtegwa??