Game Theory
Platinum Member
- Sep 5, 2006
- 8,545
- 835
Upiganaji wake hauwezi kupimwa na maswali yakuhusu maisha yake miaka 30 iliyopita, ila kwa maswali yanayohusu kilichomfanya awe shujaa wa taifa, ni maswali kuhusu ufisadi,
Wewe ya kwako binafsi unaweza kuyajibu hapa? Na usipoyajibu utakuwa what? I mean hatuijaishiwa hoja za taifa hapa JF,
Dr. slaa ni member kama wengine wote hapa kama inabidi awekwe kiti moto kuhusu maihsa yake ya binafsi basi itakuwa vyema wale wanayoyataka wakaanza kutuambia ya kwao kwanza tuone jinsi walivyo malaika, maana tunawajua karibu wote na maisha yenu suspect, haya anzeni sasa!
Sasa vipi kuhusu ile kauli mbiu "komkoma nyani giladi" or "we dare to speak openly" hazifanyikazi tena ktk mazingira haya?
Yaani iwe sawa JK kusemwa na private life ake lakini SLAA akisemwa ishakuwa nongwa? acha hizo unakuwa kama jamaa wa Minnesota bwana
Jk ni rais wa jamhuri na sio member wa JF, Dr. slaa ni member wa JF hili sio bunge, vipi ukianza na habari za kwako kwanza, halafu ndio Dr. Slaa afuatie maana kama ni public hapa ni wapi mkuu sio public sasa kwa nini ukiwa member wa public hii unakuwa tofauti na member Dr. Slaa?
off course mimi sio NSSFF!
hiyo ni kama ile ya yule Mama anayepiga makelele Bungeni kuhusu rushwa halafu usiku anashinda kwenye simu na wawekezaji wasieleweka toka Minnesota eti wanataka kuinvest Tanzania na haishi kungangania na yeye apewe percentage
kumkoma nyani giladi naona ni one way traffic
watu wa Minnesota hawajambo?
Ndugu yangu i hope iwe ni kulijenga taifa kweli. Mimi sasa hivi nina mashaka sana na viongozi wetu hasa waliosoma majuu Chenge type ambao wanakwapua kwelikweli, inawezekana atakuja kulibomoa taifa, lakini naweza kuwa wrong. Leo naona kuna mambo fulani yananifanya nione Mrema mwenye elimu ya chini ni bora kuliko mafisadi wenye elimu kubwa.Off course, mtoto wa Mama anaendelea vizuri sasa anamalizia shule soon ili arudi bongo kulijenga taifa letu, you got that one right!
Ndugu yangu i hope iwe ni kulijenga taifa kweli. Mimi sasa hivi nina mashaka sana na viongozi wetu hasa waliosoma majuu Chenge type ambao wanakwapua kwelikweli, inawezekana atakuja kulibomoa taifa, lakini naweza kuwa wrong. Leo naona kuna mambo fulani yananifanya nione Mrema mwenye elimu ya chini ni bora kuliko mafisadi wenye elimu kubwa.
JF kwa data! Ila tu tuangalie maana sisi wote ni wahalifu na kila mmoja wetu amewahi kufanya makosa mbalimbali katika maisha.
Muhimu ni kuangalia yanayotendeka sasa na sio kuangalia mambo ya miaka 20 nyuma. Ingelikuwa hivyo watu kama Clinton wasingeliweza kuwa marais USA. Pamoja na kuvuta bangi huko nyuma lakini bado jamaa aliifaa dunia.
Hata kama Dr. Slaa kuna vitu alifanya huko nyuma, bado mimi naona kwasasa yeye ni nafuu mno kuliko wabunge wetu wengi.
Kama member yoyote hapa, anahitaji kutoa maelezo kuhusu maisha yake ya binafsi basi wote tujiunge kwa sababu wote ni members hapa kama Dr. Slaa au?
Pelin a US candidate for a veep Republican Party anything to do na Dr. Slaa a JF member? I am missing something or what?
Kama member yoyote hapa, anahitaji kutoa maelezo kuhusu maisha yake ya binafsi basi wote tujiunge kwa sababu wote ni members hapa kama Dr. Slaa au?
Pelin a US candidate for a veep Republican Party anything to do na Dr. Slaa a JF member? I am missing something or what?
U r missing the whole point kwani JK ni member hapa? Lowasa? Karamagi? Chenge? etc mbona wanajadiliwa maisha yao binafsi? After-all huyu Slaa sio ndio tunataka awe Rais "mkombozi" wetu?
Mtanzani,
Hili litakuwa kosa kubwa. Ni sahihi kuchimba background za viongozi wetu, hata huko USA ulikotolea mfano si unaona akina Sarah Palin maisha yao yanavyopekuliwa mpaka uvunguni! Ni muhimu uelewe kuwa suala sio kufanya kosa, bali ni ku admitt na ku move on. David Cameroon kakubalia alikuwa anavuta Bangi so do Obama na bwimbwi.
Sasa Dr Slaa aje atoe ufafanuzi kama haya madai ni kweli au la! IS THAT TOO MUCH TO ASK?
Dr. Slaa ni member wa JF, hao wengine sio members hapa, that is what you are missing kama member mmoja hapa anatakiwa kujibu maswali ya pesonal yake , basi tuwe wote, sasa sio vibaya na nyinyi mkaanza na zenu!
Kwa hiyo ukiwa memba hapa unakuwa na immunity ya kujadiliwa kwa sababu wewe ni memba sio?
Iweje basi kulikuwa na mjadala mrefu wa Zitto na AC katika forum hii hii?