Ukiwa kawe unaiona Msasani na upande wa pili wa Msasani ndiyo ipo Oysterbay beach, hivyo huo siyo umbali mrefu. Minazi ina urefu wa mita 30, sasa kuipoteza machoni urefu huo ni zaidi ya umbali kutoka Bagamoyo hadi Zanzibar.Usibishe’ kuna watu wanaogelea wanavuka kutoka kawe kwenda coco beach kwa kuogelea tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu, hii ni chai. Uogelee kavu mpaka minazi ipotee? Wewe Zanzibar unaenda kwa miguu bila shaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiloooo,limedanganywa!Asante, nimejifunza kitu
Mkuu, hii ni chai. Uogelee kavu mpaka minazi ipotee? Wewe Zanzibar unaenda kwa miguu bila shaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo sijui ni samaki ama kitu gani ila yupo mfano wa huyo nilimuona ufukwe wa mbezi aliingia katika wavu wavuvi wote watoka nje ya wavu sasa sikuelewa kwanini kilinuka baharini, wakasema kuna samaki yupo ndani ya nyavu sio ni muuaji yaani huyo akikugusa tu kwanza lazma uzame na ukiibuka ushadedi.
Kingine nilichoshuhudia walifanikiwa kuzivuta zile nyav mpaka ufukweni na nilimuona samaki kama huyo apo, sasa haikupita dakika tatu akaanza kubadilika akawa mweusi kama mkaa ndio jamaa wakasema huyo samaki ana umeme akiwa ndani ya maji na ana sumu mbaya sana kinachombadilisha hapo na kumuua ni sumu yake mwenyewe.
Tangu ile siku nikapunguza kuogelea maji marefu maana nilikuwa na udwanzi fulani sio yaan naenda mbali kiasi mpaka ile minazi ufukweni inanipotea machoni nazuga zuga hukoo kisha narudi mdogo mdogo (kuna samaki flani wanapenda kucheza wanakuja wengi alafu wakikukaribia wanatawanyika kule katika maji mengi yanakuwa kama kioo unaona vizuri tu ndani ya maji, lakini tangu nimuone yule samaki aisee niliingiwa na uoga naogelea kwenye mchanga maji ya ugoko.
hahahhhhhHuyo sijui ni samaki ama kitu gani ila yupo mfano wa huyo nilimuona ufukwe wa mbezi aliingia katika wavu wavuvi wote watoka nje ya wavu sasa sikuelewa kwanini kilinuka baharini, wakasema kuna samaki yupo ndani ya nyavu sio ni muuaji yaani huyo akikugusa tu kwanza lazma uzame na ukiibuka ushadedi.
Kingine nilichoshuhudia walifanikiwa kuzivuta zile nyav mpaka ufukweni na nilimuona samaki kama huyo apo, sasa haikupita dakika tatu akaanza kubadilika akawa mweusi kama mkaa ndio jamaa wakasema huyo samaki ana umeme akiwa ndani ya maji na ana sumu mbaya sana kinachombadilisha hapo na kumuua ni sumu yake mwenyewe.
Tangu ile siku nikapunguza kuogelea maji marefu maana nilikuwa na udwanzi fulani sio yaan naenda mbali kiasi mpaka ile minazi ufukweni inanipotea machoni nazuga zuga hukoo kisha narudi mdogo mdogo (kuna samaki flani wanapenda kucheza wanakuja wengi alafu wakikukaribia wanatawanyika kule katika maji mengi yanakuwa kama kioo unaona vizuri tu ndani ya maji, lakini tangu nimuone yule samaki aisee niliingiwa na uoga naogelea kwenye mchanga maji ya ugoko.
Aisee, unahatari sana wewe, umbali huo ni sawa na km 19 kutoka ufukweni. Kweli ulienda kote huko kwa kuogelea?
Kuna uwezekano mkubwa hao samaki wadogo waliokuzunguka walikuja kukulinda na hatari ambayo wewe hukuiona.
Ukiwa kawe unaiona Msasani na upande wa pili wa Msasani ndiyo ipo Oysterbay beach, hivyo huo siyo umbali mrefu. Minazi ina urefu wa mita 30, sasa kuipoteza machoni urefu huo ni zaidi ya umbali kutoka Bagamoyo hadi Zanzibar.
Huyo sijui ni samaki ama kitu gani ila yupo mfano wa huyo nilimuona ufukwe wa mbezi aliingia katika wavu wavuvi wote watoka nje ya wavu sasa sikuelewa kwanini kilinuka baharini, wakasema kuna samaki yupo ndani ya nyavu sio ni muuaji yaani huyo akikugusa tu kwanza lazma uzame na ukiibuka ushadedi.
Kingine nilichoshuhudia walifanikiwa kuzivuta zile nyav mpaka ufukweni na nilimuona samaki kama huyo apo, sasa haikupita dakika tatu akaanza kubadilika akawa mweusi kama mkaa ndio jamaa wakasema huyo samaki ana umeme akiwa ndani ya maji na ana sumu mbaya sana kinachombadilisha hapo na kumuua ni sumu yake mwenyewe.
Tangu ile siku nikapunguza kuogelea maji marefu maana nilikuwa na udwanzi fulani sio yaan naenda mbali kiasi mpaka ile minazi ufukweni inanipotea machoni nazuga zuga hukoo kisha narudi mdogo mdogo (kuna samaki flani wanapenda kucheza wanakuja wengi alafu wakikukaribia wanatawanyika kule katika maji mengi yanakuwa kama kioo unaona vizuri tu ndani ya maji, lakini tangu nimuone yule samaki aisee niliingiwa na uoga naogelea kwenye mchanga maji ya ugoko.
Samaki huyu ni hatari sanaHuyo sijui ni samaki ama kitu gani ila yupo mfano wa huyo nilimuona ufukwe wa mbezi aliingia katika wavu wavuvi wote watoka nje ya wavu sasa sikuelewa kwanini kilinuka baharini, wakasema kuna samaki yupo ndani ya nyavu sio ni muuaji yaani huyo akikugusa tu kwanza lazma uzame na ukiibuka ushadedi.
Kingine nilichoshuhudia walifanikiwa kuzivuta zile nyav mpaka ufukweni na nilimuona samaki kama huyo apo, sasa haikupita dakika tatu akaanza kubadilika akawa mweusi kama mkaa ndio jamaa wakasema huyo samaki ana umeme akiwa ndani ya maji na ana sumu mbaya sana kinachombadilisha hapo na kumuua ni sumu yake mwenyewe.
Tangu ile siku nikapunguza kuogelea maji marefu maana nilikuwa na udwanzi fulani sio yaan naenda mbali kiasi mpaka ile minazi ufukweni inanipotea machoni nazuga zuga hukoo kisha narudi mdogo mdogo (kuna samaki flani wanapenda kucheza wanakuja wengi alafu wakikukaribia wanatawanyika kule katika maji mengi yanakuwa kama kioo unaona vizuri tu ndani ya maji, lakini tangu nimuone yule samaki aisee niliingiwa na uoga naogelea kwenye mchanga maji ya ugoko.
duu umenikumbusha mbali sana masuala ya kina kirefu. Nakumbuka enzi hizo mambo ya ushabiki tukienda kuogelea basi kila mtu anataka kumzidi mwenzake aonekane fundi, daah kuna siku tulipiga ruti mpaka ufukwe tukawa tunauona kwa tochi kina cha kufa mtu maji yametulia balaaa alafu ngoma ya baridi kishenzi vile vimawimbi uchwala tumeviacha nyuma huko, tunaambiana oya nani aende chini kupima kima kila mtu anagoma. Mara paaaa si vikatokea viputo , alafu ukicheki wote tupo vitumbo wazi tuna bukta tu daah yani hadi leo naogelea maji ya ugoko kama wewe
Sent using Jamii Forums mobile app