Huyo anamatatizo ya tumbo la uzazi! Either homon zimezidi ama uchafu unaosababishwa na mafuta n.k Na kwa hali hiyo hawezi shika mimba sababu mzunguko wake kutoeleweka..aende kwa specialist wa wanawake ama ajaribu kwenye centre za tiba asilia atapona btw-yupo mkoa gani?
Huyo anamatatizo ya tumbo la uzazi! Either homon zimezidi ama uchafu unaosababishwa na mafuta n.k Na kwa hali hiyo hawezi shika mimba sababu mzunguko wake kutoeleweka..aende kwa specialist wa wanawake ama ajaribu kwenye centre za tiba asilia atapona btw-yupo mkoa gani?
Mumewe akafanye vipimo vya sperm count
Yupo Arusha kwa sasa anafanyakazi. Huenda kweli ni tumbo la uzazi na homon inbalance...so ngoja kwanza hizo centre za tiba asilia zipo wapi kwa hapa Chuga?Huyo anamatatizo ya tumbo la uzazi! Either homon zimezidi ama uchafu unaosababishwa na mafuta n.k Na kwa hali hiyo hawezi shika mimba sababu mzunguko wake kutoeleweka..aende kwa specialist wa wanawake ama ajaribu kwenye centre za tiba asilia atapona btw-yupo mkoa gani?
Mkuu Matola ni kweli JF imekuwa ya hovyo sana nowadays tofauti na kipindi kile lakini still kuna vichwa naviamini bado they can share good stuff from them...si unaona kama charminglady ashawahi kuwa na hili tatizo so she can help alot.Sizinga wataalam wengi wa utabibu si wapenzi wa jukwaa hili, huitendei haki thread yako. Huku siku hizi watu makini ni wachache sana vimejaa vitoto vingi with cheap topics.
Thanks mkuu Tuko Pamoja...ngoja nijaribu kumshauri tiba mbadala akiwa poa nitakutafuta thru PM broda!!Hormonal imbalance? Chronic infections? Fibroids? au kitu chochte kingine...
Asikate tamaa. Kila anapoona chance pmya ya kwenda kuwaona madaktari afanye hivyo.
Wasiwasi wangu ni kuwa kwa hospitali tulizo nazo inaweza kuwa ngumu tatizo lake kuonekana kwa uhakika.
Mi namshauri atumie "natural products" zinazojulikana ku-harmonize body secretions lakini pia zinazoondoa maambukizi ya muda mrefu.
Uzuri wa miti shamba, nyingi ni viungo tunavyotumia kila siku kwa hiyo hazijawahi kuonyesha madhara hata ukitumia miaka kumi.
Vitu kama Tangawizi, mdalasini, iliki, karafuu na binzari ni dawa nzuri sana zikitumika regularly.
Lakini pia extracts za miti shamba siku hizi zinawekwa kama vidonge au capsules na huuzwa madukani.
Kama atapenda kutumia dawa zilizotengenezwa purely kutoka kwenye mimea na hajui pa kuzipata, mkuu ni PM nikupe directions
Pole sana kwake...