Huu ni Ugonjwa(wadada) ama?

Huu ni Ugonjwa(wadada) ama?

Maskini pole yake..

Mungu amsaidie apate tiba mana lile tumbo linauma balaa...
Yah manake akiumwa hata mi huwa nashikwa na ganzi aisee...so painful
aise pole yake , aende awaone wataalamu wa kina mama
Hata mi nafikiria hivyo....
Kiukweli sina uhakika make ilikuwa 3yrs ago.... Ila jaribu pia naweza kupata namba za Dr. nikakupa ukawasiliana naye atakwambia kama still yupo THI au wapi?? Pia sio lazima THI make hapo ni moja ya kituo cha clinic yake, huwa aa clinics nyingi..... Sema kwa location niliyokuwa nayo by that time THI ilikuwa jirani!!!!!!!!!
Sawa bidada...ntakujulisha nikishamshauri hilo...
 
Pole yake, sina la kumwambia zaidi ya kwenda kumuona specialist wa wanawake maybe atasaidika
 
Sometimes hata yeye pia huzimia kwwa maumivu hayo ya tumbo...she informed
 
Sometimes hata yeye pia huzimia kwwa maumivu hayo ya tumbo...she informed

Yale maumivu achana nayo...yasikie tu mtu akikusimulia....unaumwa mpaka unatamani heri kufa kuliko hayo mateso ya kila mwezi..
 
Naomba #MODS msiiweke hii srdi kwenye JF Doctor, iache hapahapa ipate michango ya wadada,wakaka na madaktari.

Nina rafiki yangu wa kike yaani anateseka sana akiaanza kuumwa. Sasa tangu anisumulie story yake nimejaribu kumpa ushauri lakini ningependa kujua hii ni kitu gani haswa.

Infact huyu dada ana tatizo la kutokwa na damu nyingi sana kipindi cha Hedhi yake. Period yake inatokea mara mbili kwa mwezi na inakaa zaidi ya siku 10 kuisha, sasa huwa anaumwa sana na tumbo mpaka anakata tamaa, kiukweli she is married na nilimshawahi kumshauri kwamba yambidi ashike ujauzito, akasema amepitia check up nyingi vipimo vingi na madaktari aliokutana nao walimshauri same thing kwamba ashike ujauzito itakuwa ndio solution ya tatizo lake.

Cha kusikitisha ni kwamba siku zake ni Irregular kabisa, amejitahidi sana kufuata kalenda na amejitahidi sana kushika mimba lakini imeshindikana(Kaamua kumwachia Mungu tu). Haamini tena kufuata kalenda na hana uhakika wa kushika mimba. Juzi kapoteza hamu ya kula siku 2 akaumwa sana na alivyoenda medical vipimo alivyofanya ni negative!! Alipewa tu dawa za minyoo, huwa tumbo linamsumbua sana.

Inafika wakati hata kukaa kitandani anashindwa manake damu huwa zinavuja tu. Nimejaribu kumhusisha na mambo ya kiimani kasema hamna kitu kama hicho. Sasa wenye uzoefu na hii kitu hembu toeni muongozo kwa hili tatizo


NB: Huyu dada hajawahi kushika wala kutoa mimba.

Nimechoka kutype, nakuPM namba yangu ili umpe anipigie nimpe dawa iliyonisaidia mimi.
 
Najua hapa utapata michango mingi ila kule JF doctor ingepata michango michache ila ya kitaalamu ni mtazamo wng lkn samahani km utakua na makwazo ndani yake,mpe pole sn rafiki yako.
 
Kwa mzunguko wake huo wa hedhi kushika mimba ni ngumu,tatizo linatibika hilo,aonane na daktari wa magonjwa ya kina mama!
 
Zhao nimewatibu wengi na wamepona name baadhi yao walishapata mimba ni in box nitakusaidia doctor mm do that I will help um sure God alimuumba asipate masumbufu hayo she will get well soon
 
naomba kujulishwa japo centre moja ya tiba za asili inayoaminika kwa mkoa wa dar au moro. tatizo langu ni tafauti na hilo la bi dada
c.c Munkari, Tuko, Tutor B
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom