Sizinga
Platinum Member
- Oct 30, 2007
- 9,519
- 7,287
Naomba #MODS msiiweke hii srdi kwenye JF Doctor, iache hapahapa ipate michango ya wadada,wakaka na madaktari.
Nina rafiki yangu wa kike yaani anateseka sana akiaanza kuumwa. Sasa tangu anisumulie story yake nimejaribu kumpa ushauri lakini ningependa kujua hii ni kitu gani haswa.
Infact huyu dada ana tatizo la kutokwa na damu nyingi sana kipindi cha Hedhi yake. Period yake inatokea mara mbili kwa mwezi na inakaa zaidi ya siku 10 kuisha, sasa huwa anaumwa sana na tumbo mpaka anakata tamaa, kiukweli she is married na nilimshawahi kumshauri kwamba yambidi ashike ujauzito, akasema amepitia check up nyingi vipimo vingi na madaktari aliokutana nao walimshauri same thing kwamba ashike ujauzito itakuwa ndio solution ya tatizo lake.
Cha kusikitisha ni kwamba siku zake ni Irregular kabisa, amejitahidi sana kufuata kalenda na amejitahidi sana kushika mimba lakini imeshindikana(Kaamua kumwachia Mungu tu). Haamini tena kufuata kalenda na hana uhakika wa kushika mimba. Juzi kapoteza hamu ya kula siku 2 akaumwa sana na alivyoenda medical vipimo alivyofanya ni negative!! Alipewa tu dawa za minyoo, huwa tumbo linamsumbua sana.
Inafika wakati hata kukaa kitandani anashindwa manake damu huwa zinavuja tu. Nimejaribu kumhusisha na mambo ya kiimani kasema hamna kitu kama hicho. Sasa wenye uzoefu na hii kitu hembu toeni muongozo kwa hili tatizo
NB: Huyu dada hajawahi kushika wala kutoa mimba.