Pole mkuu,kuna wakati inatokea tu mtu unakuwa na feelings mbaya,na huo mda ni mfupi sana,ila usiwaze sana kuhusu hilo,
we tuliza akili,au tafuta hata kampani ya kupotezea mawazo,na hiyo feelings zitaisha,utajikuta uko poa tu.
labda kuna taarifa ulidokezewa nini?yaani nimejikuta sina hamu kabisa kuingia jukwaa la siasa. Moyo upo mpweke kweli.