Huu ni ugonjwa gani!

Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,597
5,788
Salaam wana Jf.

Kuanzia asubuhi kila nikijaribu kufungua jukwaa la siasa napata tabu sana. Yaani moyo unakuwa mzito sana. Kichwa hakipo tayari mimi niyasome ya jukwaa la siasa.

Nimeamua kujilazmisha, ila naona machozi yananitoka. Kila nikijaribu kupitia topic machozi yananitoka nashindwa kuimalizia.

Nahisi kama nitakuwa nimefanyiwa kama yale ya yule trafiki wa Tanga. Naombeni mnipe ushauri. Hili jambo linanitesa sana.

Naombeni ushauri wenu kabla hali haijawa mbaya zaidi.
Asanteni sana.
 
Pole mkuu,kuna wakati inatokea tu mtu unakuwa na feelings mbaya,na huo mda ni mfupi sana,ila usiwaze sana kuhusu hilo,
we tuliza akili,au tafuta hata kampani ya kupotezea mawazo,na hiyo feelings zitaisha,utajikuta uko poa tu.
 
yaani nimejikuta sina hamu kabisa kuingia jukwaa la siasa. Moyo upo mpweke kweli.
 
Malipo hapa hapa duniani wewe si unaipenda sana ccm haya sasa umenyimwa nafasi ya kuitetea,pole sana sana,ntakuombea leo jioni,
 
Malipo hapa hapa duniani wewe si unaipenda sana ccm haya sasa umenyimwa nafasi ya kuitetea,pole sana sana,ntakuombea leo jioni,

unamaanisha kuwa nafanya kosa kuwa mwanachama wa CCM!

Wapi mungu amesema ni dhambi kuwa mwanachama wa CCM.
 
Back
Top Bottom