Kuna kipindi fulani majangili walikuwa wanatumia mbwa kuwinda na kuua wanyama. Iliibuliwa chanjo moja ya mbwa na ole wake ambaye asingewapeleka na baada ya hapo mbwa wote wakagoma kula,wakazidi kukonda na kunyonyoka manyoya na baadae kufa wote lakini wale ambao hawakupata ile chanjo hawakupata shida yoyote.
Kwa mwanza huwa wanasema mbwa kala utumbo wa Sangara ndio husabisha ugonjwa huo na ukifutilia kwenye masoko wanapouza samak Aina ya Sangara utawaona mbwa jamii hiyo mkuu,hat ukienda ziwani pia utawaona,dawa kwa kweli siijui
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.