So sad kuona mbwa/human friend akiteseka namna hiyo. kama mdau hapo juu alivyosema, Lishe duni inahusika PLUS infections. Boss, mbwa ni kama binadam..atleast ale milo 2 per day. Mbwa anatakiwa ale ashibe na apewe maji safi ya kunywa. unatakiwa umusimamie mbwa wako wakati anakula chakula in order to watch her behaviour. ukiamua kufuga dog hesabu kuwa umeongeza familia, so you got to be responsible. Zaidi kamwone daktari wa mifugo atakushauri kitaalam ikiwa ni pamoja na kumchoma sindano ya kumzuia na magonjwa...@
SNAP J