Huu ni ugonjwa gani??

Nipo mashambani mkuu
Ok,

Kuna kipindi fulani majangili walikuwa wanatumia mbwa kuwinda na kuua wanyama. Iliibuliwa chanjo moja ya mbwa na ole wake ambaye asingewapeleka na baada ya hapo mbwa wote wakagoma kula,wakazidi kukonda na kunyonyoka manyoya na baadae kufa wote lakini wale ambao hawakupata ile chanjo hawakupata shida yoyote.
 
Lishe + minyoo. Minyoo kwa mifugo ni ugonjwa hatari saana. Watibu ugonjwa huu kila baada ya miezi 3 atleast.
 
bro kuna hospitali za mifugo au madaktari wa mifugo , wasiliana nao ili wakusaidie kwenye hilo.
 
Kwa mwanza huwa wanasema mbwa kala utumbo wa Sangara ndio husabisha ugonjwa huo na ukifutilia kwenye masoko wanapouza samak Aina ya Sangara utawaona mbwa jamii hiyo mkuu,hat ukienda ziwani pia utawaona,dawa kwa kweli siijui
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom