Ralphryder JF-Expert Member Joined Nov 16, 2011 Posts 5,599 Reaction score 1,798 Mar 9, 2012 #21 Unapopiga konzi kinyago cha mpingo cha kimakonde!
TaiJike JF-Expert Member Joined Dec 14, 2011 Posts 1,482 Reaction score 669 Mar 9, 2012 #22 unaposhabikia Magamba wakati we ni kijana.
M mbambaguy JF-Expert Member Joined Mar 11, 2011 Posts 217 Reaction score 19 Mar 9, 2012 #23 unapomtaka dem asiyekupenda
Erickb52 JF-Expert Member Joined Oct 31, 2010 Posts 18,554 Reaction score 11,485 Mar 9, 2012 #24 Ralphryder said: Unapomuua kunguni kisha kumnusa! Click to expand... Hahahahaaa hii ya ukweli sana
Papa D JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 752 Reaction score 182 Mar 9, 2012 #25 Polisi wanapowasambaratisha raia wanaoandamana kuelekea kwenye mkutano wa hadhara/siasa na kuwaacha raia wanaofunga barabara kwa magogo wakidai matuta barabarani
Polisi wanapowasambaratisha raia wanaoandamana kuelekea kwenye mkutano wa hadhara/siasa na kuwaacha raia wanaofunga barabara kwa magogo wakidai matuta barabarani
M Masudya New Member Joined Mar 10, 2012 Posts 4 Reaction score 1 Mar 11, 2012 #26 Unapomcheka jamaa mwenye kigugumizi akati we ni bubu!
ZeMangi JF-Expert Member Joined Oct 21, 2011 Posts 436 Reaction score 33 Mar 11, 2012 #27 Unapojamba wakati unaharisha
THK DJAYZZ JF-Expert Member Joined Sep 14, 2011 Posts 2,166 Reaction score 175 Mar 11, 2012 #28 Unapojiona msomi huku elimu yako haijakukomboa...
ummu kulthum JF-Expert Member Joined Feb 6, 2012 Posts 2,784 Reaction score 1,317 Mar 12, 2012 #29 unapomkubali waziri wa afya na kumfukuza katibu mkuu na naibu wake
T Temba Innocent Jvr Member Joined Feb 1, 2012 Posts 34 Reaction score 4 Mar 12, 2012 #30 Ralphryder said: Unapopiga konzi kinyago cha mpingo cha kimakonde! Click to expand... hahah umenikumbusha kinyago cha mpapure!
Ralphryder said: Unapopiga konzi kinyago cha mpingo cha kimakonde! Click to expand... hahah umenikumbusha kinyago cha mpapure!
Mtanzanika JF-Expert Member Joined Feb 27, 2012 Posts 2,389 Reaction score 1,131 Mar 12, 2012 #31 Unapo Copy from the desktop afu ukasahau na kutaka kuPaste kwenye Laptop pembeni yako:violin:
Salathiel m. Senior Member Joined Mar 12, 2011 Posts 185 Reaction score 41 Mar 12, 2012 #32 Sistadu anapojamba akidhan yupo pekeake alafu mtu anatokea!
Papa D JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 752 Reaction score 182 Mar 12, 2012 #33 unapomfukuza kichaa laiyechukua nguo zako ilhali hali weye upo uchi wa mnyama yeye kavaa nguo!
Red Giant JF-Expert Member Joined Mar 9, 2012 Posts 15,650 Reaction score 20,994 Mar 12, 2012 #34 unapoenda chooni na maji kwenye kikombe
kalukamise JF-Expert Member Joined May 4, 2011 Posts 683 Reaction score 191 Mar 12, 2012 #35 Unapojifuta mikono kwenye soksi baada ya kunawa
MBKiria Member Joined Mar 12, 2011 Posts 5 Reaction score 0 Mar 12, 2012 #36 Anaposhuka kiongozi wa chadema air port na kukuta maandamano ya kumpokea kiongozi wa cuf
Pancras Suday JF-Expert Member Joined Jun 24, 2011 Posts 8,143 Reaction score 3,848 Mar 12, 2012 #37 Ulimakafu said: mie simo. Click to expand... Huu nao ni uchuro, unakuwepo halafu unakana hupo
L LATTICE BOND JF-Expert Member Joined May 30, 2011 Posts 219 Reaction score 48 Mar 29, 2012 Thread starter #38 Unapogombea cheo cha baba yako aliyefariki Dunia!
L LATTICE BOND JF-Expert Member Joined May 30, 2011 Posts 219 Reaction score 48 Mar 29, 2012 Thread starter #39 Unapojikinga mvua kwa kutumia jaketi la kuzuia baridi!
Kiraka Kikuu JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 5,903 Reaction score 1,983 Mar 29, 2012 #40 Mods wanapo futa uzi bila kutoa sababu yoyote!