maji ya gundu
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 3,096
- 4,758
apo utaokota sana za baghosha
Imeji type keyboard yangu....😀😀😀😀Kwahy ss mataila 😂
Mbona haikujitype mabahasshaImeji type keyboard yangu....😀😀😀😀
😂😂😂Nmewambia mm sio mshirikina😂😂
Sijui ililenga nin simu yanguMbona haikujitype mabahassha
Itupe chini tuone kama ita wakaSijui ililenga nin simu yangu
Mimi nataka Ile ya damu 😂naskia ni chap saanaendelea
Apo mdada ameandika jina ya mshikaji kwa kalamu nyekundu majina yote matatu
Kisha kageuza nyuma kaandika hayo maneno na hicho kitunguu kina wakilisha moyo wa huyu jamaa
Hicho kikaratasi kina wekwa katikati ya hicho kitunguu maji afu anaanza kutamka maneno hayo mara saba wkt huo anakuwa anakitoboa kitunguu hicho hadi sindano itokeze upande wa pili😁
Unakuta anakapenda kadada sana kumbe kashakufanyiaga umafia aseee
Yani bora nijitupe mm kuliko simu yangu ya Samsung Galaxy S 24 ultra originalItupe chini tuone kama ita waka
Sasa kiungo cha kachumbari na ushirikina wapi na wapi?
Ningeshtuka ningeona ndura
Na ili uwajue wachawi angalia ID zao tu utawajua ... Kwa mfano ID yako wewe ila ZINGATIA NENO MFANO..Uchawi hauendi kwa mentali
Kimandolu wewe 😂😂😂Na ili uwajue wachawi angalia ID zao tu utawajua ... Kwa mfano ID yako wewe ila ZINGATIA NENO MFANO..
Kuandika hili neno bila ulazima imefanya uone umepata validation unayoitafuta?Kati ya kitunguu na uboo kipi kiungo???