Huu ni uchawi kwenye mapenzi

Huu ni uchawi kwenye mapenzi

endelea
Apo mdada ameandika jina ya mshikaji kwa kalamu nyekundu majina yote matatu
Kisha kageuza nyuma kaandika hayo maneno na hicho kitunguu kina wakilisha moyo wa huyu jamaa
Hicho kikaratasi kina wekwa katikati ya hicho kitunguu maji afu anaanza kutamka maneno hayo mara saba wkt huo anakuwa anakitoboa kitunguu hicho hadi sindano itokeze upande wa pili😁
Unakuta anakapenda kadada sana kumbe kashakufanyiaga umafia aseee
 
Mkuu kwa hii comment usipofuatwa Pm

Nimekaa hapa
 
Wadada turogeni tu, maana wengine wanakimbiaga majukumu ukifny ivo hachomoki kila ck nipesa tu
 
Back
Top Bottom