Wanajamvi em tujiulize jamani yaani watu milioni nane tume imetumia wiki nzima kutoa matokeo je ingekuwa milioni 16 ingekuwaje!!Muda wote huo walikuwa wanafanya nin kama sio shughuli yakuchakachua.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.