love b
JF-Expert Member
- Aug 27, 2017
- 2,155
- 3,164
Hapo hapo keshatuambia wanawasilia sana had wanafanya romantic nini sijui[emoji23][emoji23][emoji23]!....Mungu anakuona kwa sababu siyo kwa uwongo huu!!
Hapo hapo keshatuambia wanawasilia sana had wanafanya romantic nini sijui[emoji23][emoji23][emoji23]!....Mungu anakuona kwa sababu siyo kwa uwongo huu!!
Unaulizwa na wewe unauliza!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah sawa buana GREAT THINKERHow old are you, son?
unawekwa kwanza ktk 18, afu ukishaingia unaliwa....umesema mmeshazini kwenye simu?
huyo ana mtu wake mkuu..
ila bado anawapima uzito nani ana mfaa..
ukitaka ujue ukweli mwambie na yeye akuweke picha yako au akupost uone kama ataweza...
kesi za nyani zisoviwe kinyani zaidi
If you read between the lines you can see huyu ni under 18How old are you, son?
kabisa kabisa... ndo maana namshauri azingatie masomo kwanza...If you read between the lines you can see huyu ni under 18
Huyo hajauliza bali ameomba ushauri...Unaulizwa na wewe unauliza!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah sawa buana GREAT THINKER
Sasa sisi tutajuaje kama anakupenda?Nataka kujua hii imekaaje ananipenda kweli au vipi?
Wamekataza kutumia lamli mkuu,Mpaka form 5 waende shule tutakoma