Tushfutshtar
Senior Member
- Dec 30, 2017
- 117
- 112
- Thread starter
- #21
Umeona mkuu!! Hii ndo inanipa kujiuliza kwa huyu kweli ananipenda au vpKurudishiwa pesa dizain hiyo ni bahati kubwa sana Duniani.
Umeona mkuu!! Hii ndo inanipa kujiuliza kwa huyu kweli ananipenda au vpKurudishiwa pesa dizain hiyo ni bahati kubwa sana Duniani.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] haya bhanaHivi uliona wapi mkuu chakula ule wewe harafu ninye Mimi?
Teh
Ahsante mkuu!Tafakari kwa makini hii kauli
NAFSI INANISUTA
Hii ndo jibu la kurudisha hiyo hela
Ukipata jibu ulete mlejeshoAhsante mkuu!
Issue kubwa ni kuwa kitendo cha kurudisha hela INA maana kuna sababu nyuma yake ,hiyo sababu sasa ndo sijajuaHuzitaki hizo hela?
MuulizeIssue kubwa ni kuwa kitendo cha kurudisha hela INA maana kuna sababu nyuma yake ,hiyo sababu sasa ndo sijajua
Nakutumia sasa hivi picha ake !Mkuu weka picha yake tumuone ili tujue kama kweli ni mwaminifu au anataka kukufanya we ndo fursa! Lazima kuna watu watakuwa wanamfaham
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ....haaaaa haaa uwiiiHivi uliona wapi mkuu chakula ule wewe harafu ninye Mimi?
Teh
Hongera kwa kurudishiwa pesa. Tena hongera sana aisee yaani hongera sana tena sana.Salaaamu zenu wakuu,!!
Moja kwa moja kwenye mada, kuna Dada tuliwahi kuonana Dar tukapeana namba nikaimbisha mistari yangu akakubali pindi alikuwa keshaondoka yupo mkoani, mawasiliano yakaendelea kama kawaida hadi tukawa tunafanya ile night romantic love charting, kwa kweli Nina mwelewa (nampenda sana) sasa siku kadhaa nyuma nilimwambia nimtumie nauli aibuke akakubali, nikatuma nauli sasa cha kushangaza baada ya siku moja akanambia hawezi kuja kwa sababu ambazo haja weka wazi (anaficha hataki kunambia)
Alichofanya ambacho hadi sasa kinanishangaza kwa dunia ya leio ni kuwa kaamua kunirudisha ile pesa niliyokuwa nimemtumia kama nauli, then akaambatanisha na ujumbe kuwa hapendi kunikosea au hapendi kutumia ile pesa maana nafsi inamsuta kwa kuwa ananipenda sana! Najiuliza kwa nini haweki wazi kilichofanya asije ?
Kingine nisipompigia simu siku moja hadi mbili anatoka povu balaa ,hataki kuona picha ya mwanamke kwenye mitandao yangu ya kijamii (ana wivu hatari)
Nimeshangaa kurudishiwa pesa maana wangekuwa wale wengine, (wapo wanao ona mapenzi kama fursa na kipato) hiyo pesa isingerudi kwa kweli !
Nawasilisha!!
Muuulize yy sasa, sisi tutajuaje?Issue kubwa ni kuwa kitendo cha kurudisha hela INA maana kuna sababu nyuma yake ,hiyo sababu sasa ndo sijajua
Nataka kujua hii imekaaje ananipenda kweli au vipi?
Ukimaliza kucheka nistue namm nicheke ili kuwe na series kama isidingo vile[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ....haaaaa haaa uwiii
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Tuongee tu mkuu!