Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,172
kuna jamaa wamenishangaza sana pale buguruni sheli. wakati magari yakiwa kwenye foleni, yakisubiri kuruhusiwa, njemba mbili ziliona kupita nyuma ama mbele ya sam trela ni ishu. wakaamua kuinamisha migongo na kupita chini ya trela.
sijahadithiwa. nimejionea.
utani mwingine haufai jamani. ni hatari.
sijahadithiwa. nimejionea.
utani mwingine haufai jamani. ni hatari.