Huu ni muujiza?

Huu ni muujiza?

Mkulungwa01

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2021
Posts
3,977
Reaction score
5,351
Salaam! Nina mdogo wangu wa kiume, alikuwa mbaya(sura mbaya) tangu utoto wake, mademu wengi walimkataa sana.

Mwaka 2019 alijiunga na chuo nako bado alikataliwa kwa dharau sana. Ikapita miaka 2 yaani mpaka mwaka huu, amerudi likizo nashagaa, yaani wotr tumemshangaa sana, kawa handsome balaa, ameota tundevu na uso wake umebadilika.

Yaani kichwa kimekuwa kirefu chenye mvuto kifupi mpaka mwenyewe nimeshangaa sana, na ameanza kuwapanga mademu vibaya mno.

Kwa wajuaji, hivi kuna mabadiliko yoyote ya mwili wa binadamu kwa miaka 2, hususani sura na kichwa kwa kijana wa miaka 21? Kwa sasa ana miaka 23.

Nimeshangaa mno kilichomtokea huyu dogo.
Nawasilisha!
 
Sasa unamuonea wivu? Muulize siri yake ili nawe uanze process ya kuwa handsome. 🤣🤣
Salaam! Nina mdogo wangu wa kiume, alikuwa mbaya(sura mbaya) tangu utoto wake, mademu wengi walimkataa sana.

Mwaka 2019 alijiunga na chuo nako bado alikataliwa kwa dharau sana. Ikapita miaka 2 yaani mpaka mwaka huu, amerudi likizo nashagaa, yaani wotr tumemshangaa sana, kawa handsome balaa, ameota tundevu na uso wake umebadilika.

Yaani kichwa kimekuwa kirefu chenye mvuto kifupi mpaka mwenyewe nimeshangaa sana, na ameanza kuwapanga mademu vibaya mno.

Kwa wajuaji, hivi kuna mabadiliko yoyote ya mwili wa binadamu kwa miaka 2, hususani sura na kichwa kwa kijana wa miaka 21? Kwa sasa ana miaka 23. Nimeshangaa mno kilichomtokea huyu dogo.
Nawasilisha!
 
Sasa unamuonea wivu? Muulize siri yake ili nawe uanze process ya kuwa handsome.
Sio wivu kaka, issue ni kuwa mwaka 2019 alikuwa kawaida, sasa imepita miaka 2 tu ndio amekuwa gumzo sana kwa sasa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom