Huu ni muujiza?

Huu ni muujiza?

Kuna wengine unakuta wakiwa wadogo wanakuwa na sura za kike ,wakibalehe wanabadilika gafla unakuta Sasa sura za kiume,ni mabadiliko tu
 
Amechanjwa johnson and johnson ? nasikia inabadilisha vinasaba vya mwili🐒
 
Begin;skdcqlicleckqsnckl1fj2k`\dsac;kwqfc;,qwcijpwqjdp2`[ejj1fmw'mcwo[qkjfpq'/.csa/cmqwodwkfwpwk['wkd'ddw;end
Ukiicrack hiyo code hapo juu utagundua kuwa aliens live among us
Mbona inakataa hiyo link?
 
Anafanana na yupi hapa?
afrika.jpg
 
kamdogo mtu yuko ivo vuta picha huyu ndugu yake atakuwaje
 
Salaam! Nina mdogo wangu wa kiume, alikuwa mbaya(sura mbaya) tangu utoto wake, mademu wengi walimkataa sana.

Mwaka 2019 alijiunga na chuo nako bado alikataliwa kwa dharau sana. Ikapita miaka 2 yaani mpaka mwaka huu, amerudi likizo nashagaa, yaani wotr tumemshangaa sana, kawa handsome balaa, ameota tundevu na uso wake umebadilika.

Yaani kichwa kimekuwa kirefu chenye mvuto kifupi mpaka mwenyewe nimeshangaa sana, na ameanza kuwapanga mademu vibaya mno.

Kwa wajuaji, hivi kuna mabadiliko yoyote ya mwili wa binadamu kwa miaka 2, hususani sura na kichwa kwa kijana wa miaka 21? Kwa sasa ana miaka 23. Nimeshangaa mno kilichomtokea huyu dogo.
Nawasilisha!
Tatizo wabongo hamjui fashion ntarud hapq stay tuned
 
Ipo hv kwa wale wenye vichwa vipana unachopaswa kufanyq kuguga nywele nying kisha nyoa pank ya brash pank lisiloonekana nywele zq juu usinyoe zichpnge tu kichwa chako kitaonekana kirefu kuhusu appearance watu weusi siju hz
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom