Huu ni muujiza?

Huu ni muujiza?

Unamuonaje mwanaume mwenzio handsome?
Kiasi cha kujihoji?
Hata unamuonaje mdogo wako mbaya wa sura?
Si amezaliwa unamwona?
So mshangak kuhusu sura yake kiasi mpk umuone ndio sababu ya kukosa girls?
Yani how on earth uliassume sababu ya kukataliwa ni sura?


Sidhani ni sawa hii!
Uko na shida mahali.
Na inahusika na Sexuality yako.
Wala sio mwonekano wa mdogo wako wala idadi ya wasichana ana mahusiano nao.
Which also explains it all,
WANAUME HUWA HAWAHESABU IDADI YA WANAWAKE WALIO NAO WANAUME WENZAO!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom