ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,146
- 7,683
- Thread starter
- #41
Sasa watu badala,ya kunishauri na kunisaidia tatizo langu mnaanza kuliza pesa wapi natoa sa ndo maswali gani hayoo
Basi usiwape.......
Utakuwa na nyota ya BARCLAYS
mimi sina kazi wala nini nipo kwa baba na mama
hapa ndo nimeshindwa kukuelewa kabisa
Mmmmmh .....sio kitengo kizuri hikiUna nyota ya benk kitengo cha misaada...
Mmmhhh
Hii mpya!!!!
Mmmmmh .....sio kitengo kizuri hiki
Nenda kwa mganga ubadilishwe haraka.
Naomba kupata tiba yaani
We mwenyewe unakula ugali wa shkamoo afu watu wanakuomba hela znawatosha kweli hao...
naomba hela