ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,146
- 7,676
- Thread starter
- #21
Sijakuelewa, huna kazi na uko kwa baba na mama, rafiki zako/demu wako wanaelewa hilo? lakini wanakuomba hela, unawapa? kama unawapa unazitoa wapi? na kama huwapi mbona wanarudi tena kukuomba?
Ndo na ww ujiulize hapo kma mm nifanyavyo