ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,146
- 7,676
- Thread starter
- #61
tiba haipatikani kirahisi hivyo
Nambie basi niipate kiugumuu njia gani zitumike
tiba haipatikani kirahisi hivyo
Hahahaaa
Sheikh Yahya kakuambia?
Niko dar sahizi unaweza kuja muhimbili utanikuta muda wote
Nakuja
...sasa mimi sina kazi wala nini nipo kwa baba na mama najiuliza huu ni mkosi au bahati
Nambie basi niipate kiugumuu njia gani zitumike
jiandae kupata kazi ya afisa mikopo....
Mfano huu mm nataka kujua nifanye nn
Avatar yako kama demu wangu wa zamanihaha aende kwa gwajma akaombewe
Wewe kwenu mambo swafiiiii embu tugawie hiyo mihela haiwezekani kila mmoja akuombe,na mm nataka(joking)
Sasa dogo kama wewe ni mtu wa show off acha hiyo tabia,hifadhi hela unayopewa na wazazi utashangaa jinsi itakavyokuwa kubwa,kama huna akaunti kafungue kabisa,mtu akikuomba kama unayo na ziada mpe kama hauna wala usijisumbue kwa lugha nyepesi mwambie mambo tight na usijiskie vibaya na wala usihangaike ukawaibia wazazi bure.
dawa ni kuwaomba na wao