Huu ni mkosi au nyota?

Huu ni mkosi au nyota?

Sijasoma komenti zote. Hao wanaokuomba hela hawajui kuwa wewe ni kula kulala? Kama wanajua basi jibu ni moja tu "nitakupa kesho" kila siku jibu lako liwe hilo hilo. Na kama hawajui wewe ni kula kulala basi jibu lako kila siku liwe SINA.
 
Jamani mimi nina tatizo moja sielewi ni nini yaani mdada mmoja awe rafiki yangu au demu wangu akiniomba hela basi ujue siku hio akina dada watano au hata watatu wataniomba hela na siku inayo fuata au rafiki yangu wa kiume mmoja akiniomba tu ujue siku hyo wengine wa nne wataniomba na hela sio ndogo sasa mimi sina kazi wala nini nipo kwa baba na mama najiuliza huu ni mkosi au bahati na siku zote ipo hivyo na kila mmoja anasema ana tatizo na ukiangalia tatizo unaona kweli ni kubwa linahitaji msaada sasa kwann wengi waniombe siku moja?

Asipo niomba yeyote yule basi ujue siombwi wala sikii matatizo sasa sielewi naombeni ushauri nifanyaje

Umekaa kihela hela sana itakuwa
 
Sawa kama wewe unaonekana una mipango mingi ya hela kwa nini usiombwe maana vijana hamchelewi kupita mbele ya watu mnaongelea mipango ya milioni kumbe hata elfu kumi huna
 
Sawa kama wewe unaonekana una mipango mingi ya hela kwa nini usiombwe maana vijana hamchelewi kupita mbele ya watu mnaongelea mipango ya milioni kumbe hata elfu kumi huna

Hahahaha sipo hivyo mkuu....ingawa kuna watu wapo hvyo
 
Sijasoma komenti zote. Hao wanaokuomba hela hawajui kuwa wewe ni kula kulala? Kama wanajua basi jibu ni moja tu "nitakupa kesho" kila siku jibu lako liwe hilo hilo. Na kama hawajui wewe ni kula kulala basi jibu lako kila siku liwe SINA.

Sasa mkuu ukiwa ahidi wanasumbua balaa
 
Back
Top Bottom