Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,085
Mkuu niweke ushahidi wa visima au gari?
MWANAHALIS
Junior Member Array
Join Date : 7th March 2012
Posts : 3
Rep Power : 0
Likes Received0Likes Given7
300 Millions inatosha kununua na kukarabati nyumba Dubai? Inatosha kujenga nyumba kunduchi? Kukarabati Bilicanas?
Mtoa mada umekurupuka hvyo kajipange upya.
Mkuu, ebu tuambie hivyo visima vipo wapi au huo mradi wa visima unaendeshwa na kampuni gani?
Mkuu unataka chanzo gani wakati jambo lipo wazi pesa alizotoa Sabodo mpenda maendeleo zipo wapi? au umeishawahi kusikia viongozi wa Chadema wamezitolea maelezo?
Na nyumba ya Slaa, Kunduchi beach, ujenzi wa Billcanas.
Mzee Sabodo pesa zako zinafanya kazi nyingine.
Mkuu, soma vizuri hii thread msatari kwa mstari sio Sh300 Milioni ni Sh700 Milioni.
wala usidhani sabodo atashtushwa na hayo mayowe yako, namwamini sana huyu sabodo ni mzee makini,kama cdm wangekuwa hivyo asingetoa hiyo misaada yote tena mara tatu.mnatakiwa mkubali tu kuwa kuizima cdm hakufanikiwi kwa vimajungu hivi.tafuteni mbinu nyingine tena
kwa akili yako hiyo hela wewe ndo unaona inafaa kwenye hayo mambo.kweli wewe gamba
ngoja niwaeleweshe ndugu..sabodo alitoa ofa ya kuchimba visima zaidi ya 600 nchi nzima.. (na hakutoa pesa ya visima..pesa aliyotoa ni kwa ajili ya kusapot mustafa sabodo academy) akatoa ofa ya kuchimba zaidi visima kwenye majimbo ya cdm..kutokana na shida ya maji igunga,cdm walimwomba idadi kubwa ya visima ielekezwe igunga badala ya kwenye majimbo yao..so aulizwe sabodo amefikia wapi..?sio cdm..na hata mwandosya aliahidiwa visima zaidi kwenye jimbo lake baada ya kwenda nyumbani kwa sabodo kumshukuru..
Mods tujenge heshima ya jukwaa hili haiwezekani mtu anaingia na kuandika vitu vya kuchafua watu tu bila ushahidi wowote.Mods hii si haki kabisa.Mtoa mada aweke uthibitisho ama sivyo ondoeni hii mada.Jukwaa hili lisitumike kupotosha na kuchafua watu.Nadhani sheria za JF haziruhusu hali kama hii.
Hivi mil 300 unaweza kufanya mambo yote aliyoyataja huyu jamaa? Kununua nyumba dubai ni sh ngapi? Kujenga nyumba kunduchi sh ngapi? Kufanya ukarabati wa billz sh ngapi? Mtoa mada akajipange upyaaaa!![/QUOAsante sana kwa kuweka hali ya hewa sawa hapa uyu jamaa alishaaribu, so the guy alitaka aone akaunt ina 300Mil tangu 2010 to 2015...Jambo jingine nikwamba matokeo kuhesabiwa pale kwenye zile appartment hiyo sio proof,Kwakweli mtanzania umepotea na we simwana halisi bali Mzushi na kauli zakozinaonyesha ulianguka maali flan ukawekwapembeni sasa hasira zako unakichafua chama.Inadhihirisha kabisa upokaribu na chama lakini una data zauzushi kuwachafua watu unaowaona kama walio kukwamisha kwakua walikuona hufai nawe unatudhihirishia wana JF hapa. Ndugu yangu sio kila king'aacho nidhahbu inawezekana wewe ni bati tu......
Na anasema zilitolewa mwaka 2010 kwa ajili ya uchaguzi akumbuke kuwa wakati wa Kampeni chama kilizunguka Tanzania nzima. Hana jipya. Toa taarifa au ufisadi ukiwa na vielelezo usiibuke tu. Watanzania wa leo sio wa mwaka 47 chunga sana. Bilicanas inajiendesha na hata ivyo Mbowe anabiashara zake, Halfu anunue nyumba Dubai aweke ndg zake ili iweje mara ya biashara. Dunia ya sasa uwezi kumdanganya mtu. Kama yangekuwa kweli Magamba yasingekaa kimya hadi leo umechemsha tafuta asprin ikutulizeHivi mil 300 unaweza kufanya mambo yote aliyoyataja huyu jamaa? Kununua nyumba dubai ni sh ngapi? Kujenga nyumba kunduchi sh ngapi? Kufanya ukarabati wa billz sh ngapi? Mtoa mada akajipange upyaaaa!!
Mods tujenge heshima ya jukwaa hili haiwezekani mtu anaingia na kuandika vitu vya kuchafua watu tu bila ushahidi wowote.Mods hii si haki kabisa.Mtoa mada aweke uthibitisho ama sivyo ondoeni hii mada.Jukwaa hili lisitumike kupotosha na kuchafua watu.Nadhani sheria za JF haziruhusu hali kama hii.
Mods tujenge heshima ya jukwaa hili haiwezekani mtu anaingia na kuandika vitu vya kuchafua watu tu bila ushahidi wowote.Mods hii si haki kabisa.Mtoa mada aweke uthibitisho ama sivyo ondoeni hii mada.Jukwaa hili lisitumike kupotosha na kuchafua watu.Nadhani sheria za JF haziruhusu hali kama hii.
ni pesa ya kununulia kiwanja kwa baadhi ya maeneo hapa dar.300 Millions inatosha kununua na kukarabati nyumba Dubai? Inatosha kujenga nyumba kunduchi? Kukarabati Bilicanas?
Mtoa mada umekurupuka hvyo kajipange upya.