Huu ni baadhi tu ya ufisadi mkubwa ndani ya CHADEMA; ni kuhusu mamilioni ya Sabodo

Mods tujenge heshima ya jukwaa hili haiwezekani mtu anaingia na kuandika vitu vya kuchafua watu tu bila ushahidi wowote.Mods hii si haki kabisa.Mtoa mada aweke uthibitisho ama sivyo ondoeni hii mada.Jukwaa hili lisitumike kupotosha na kuchafua watu.Nadhani sheria za JF haziruhusu hali kama hii.
 
Mimi ni kiongozi wa Chadema na wewe uliepost hii thread bora ukae chini utafakari b4 hujaandika ujinga wako humu, do you think Mbowe na Slaa ndio CHADEMA???? Wao ni viongozi na hawana hiyo njaa unayotaka kupotosha nayo watu, they stand for right and always they'll be there 4 TANZANIAN's people..... Bills mbona imekarabatiwa hata hiyo hela ya Sabodo haijatoka. Nadhani unjejiweka wazi what do you want from those 2 leaders....... na uache propaganda.....
 
Na hii ya kuchukua gari shangingi wakati mbowe alikataa?

Swala la slaa kukaa abla apartments? Ingawa bei iliyotajwa ni kubwa kidogo I think its less than 250,000 kwa siku. Kuna picha ililetwa ya Slaa na mmiliki wa abla apartments wanakunywa kahawa mnakumbuka?

Hivyo visima mtajenga lini?

Jibuni hoja kwa hoja
 
Hii imejidhihirisha wazi ndani ya Taifa hili la Tanzania,Safari ya ukombozi ndani ya nchi yetu bado ni ndefu sana tena sana kwa sababu tu,kila aliye juu ni mchafu bila kuzingatia itikadi zetu za kisiasa.CHADEMA tunategemea ndicho chama kitakacho tuokoa lakini viongozi wake wananuka ufisadi/pesa zao zinanuka...watanzania wengi wameonja adha ya risasi na mabomu ya machozi kwa sababu ya chadema...lakini leo hii hawa viongozi wa juu wa chama balaa.

CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO

Inaonekana wewe ni mhasibu mzuri sana,kuna nafasi kwenye kampuni yagu nathani itakufaa sana
 
Haya mambo yanaweza kuwa majungu ama la. Ila kwa ujumla wake yanatisha sana hasa ikizingatiwa CDM na viongozi wake ndio tegemeo la watanzania kuondokana na minyororo ya CCM. Haya mambo yanahitaji majawabu.

Moja nimelisikia kama miezi miwili hivi iliyopita; kwamba KUB amelichukua kimya kimya gari la rasmi la KUB. Hayo mengine sijui. Ila linalotisha zaidi ni hili la Mwenyekiti wa CDM kununua nyumba Dubai na kuikarabati kwa ajili ya kuwahamishia ndugu zake huko. Kama ni jungu basi ni jungu baya sana inabidi litolewe kauli si la kuacha hivi hivi. Kama kiongozi ana mpango wa kuhamishia ndugu zake ughaibuni hapa kuna ujumbe gani?

hilo gari lazima atakuwa anaendeshea chumbani kwake au sitting rum..pili viongozi wetu huwa hawakurupuki kwa rumours..weka ushahidi hapa.. automatically utawaona wakikujibu bila kutoa jasho..
 
Kikubwa viongozi wa Chadema wanatakiwa kutolea ufafanuzi michango wanayopewa na wafadhili wao pamoja na Wananchi kupitia TiGo M-Pesa, AIRtel Money, Voda M-Pesa.

Mzee Sabodo aliona pesa zake akizipeleka CCM watazigawana ni bora ziende Chadema kuchimba visima.

Cha kusikitisha mpaka leo suala la visima limekuwa la kihistoria huku viongozi wa Chadema wakiendelea kukaa kimya kama vile hakuna jambo lolote.

Navyomjua huyu mzee Mustafa Sabado kaamua kukakaa kimya tu mtu mmoja mwenye huruma sana.
 
Mkuu sisi wengine huwa hatuna vyama wala mahaba; kuna mengi mtoa maada ameongea kwa hiyo yote ni uchafu tu? Kwangu mimi nimeambulia mawili:
  1. KUB amelichukua gari la KUB kimya kimya
  2. CDM walisema watajenga visima ila sioni hata mchakato.
Hayo mawili tu nina hakika nayo mengine sijui. Kwa maana hiyo ni kwamba alichokiandika mtoa maada siyo uchafu mtupu kuna hoja.

1. jamani gari hilo kama analo angeendeshea wapi mbinguni au mbowe ana barabara zake binafsi anakoendeshea gari hilo.

2. swala la visima ni swala la mikakati zaidi kuliko ubadhilifu kwani maswala yote ya fedha yanashugulikiwa na kamati kuu na si swala la mtu mmoja kuamua namna yakutumia fedha rejea kwenye swala la mshahara wa katibu mkuu.
 
hilo gari lazima atakuwa anaendeshea chumbani kwake au sitting rum..pili viongozi wetu huwa hawakurupuki kwa rumours..weka ushahidi hapa.. automatically utawaona wakikujibu bila kutoa jasho..

Mkuu niweke ushahidi wa visima au gari?
 
hilo gari lazima atakuwa anaendeshea chumbani kwake au sitting rum..pili viongozi wetu huwa hawakurupuki kwa rumours..weka ushahidi hapa.. automatically utawaona wakikujibu bila kutoa jasho..

Mkuu, ebu tuambie hivyo visima vipo wapi au huo mradi wa visima unaendeshwa na kampuni gani?
 
Kikubwa viongozi wa Chadema wanatakiwa kutolea ufafanuzi michango wanayopewa na wafadhili wao pamoja na Wananchi kupitia TiGo M-Pesa, AIRtel Money, Voda M-Pesa.

Mzee Sabodo aliona pesa zake akizipeleka CCM watazigawana ni bora ziende Chadema kuchimba visima.

Cha kusikitisha mpaka leo suala la visima limekuwa la kihistoria huku viongozi wa Chadema wakiendelea kukaa kimya kama vile hakuna jambo lolote.

Navyomjua huyu mzee Mustafa Sabado kaamua kukakaa kimya tu mtu mmoja mwenye huruma sana.

amekaa kimya kwa sababu anajua majibu yake wewe unapiga kelele kwa sababu hujui majibu yake lakini kabla hamjaoji ya wengine kwanini msiamze kutoa majawabu ya pesa za EPA zilizorudishwa zilinunua nini kwy account ya wakulima au pesa za chenge uingereza tulizoambiwa zitanunua vitabu na madawati??
 
wanacdm mtaua chama,wakat mwingne yawapasa kufkiri sana kabla ya kukurupuka kujbu,cdm inapendwa na wananch bas washaurin viongoz watoe ufafanuz,hayahaya ndo maana wameshindwa kumtimua shibuda(mzee wa ujira wa mwia),kwl nyie ndo watetez wa wanyonge au na nyiny n mafisad tu?mnakurupuka sana
 
1. jamani gari hilo kama analo angeendeshea wapi mbinguni au mbowe ana barabara zake binafsi anakoendeshea gari hilo.

2. swala la visima ni swala la mikakati zaidi kuliko ubadhilifu kwani maswala yote ya fedha yanashugulikiwa na kamati kuu na si swala la mtu mmoja kuamua namna yakutumia fedha rejea kwenye swala la mshahara wa katibu mkuu.

Mkuu hilo la gari nimesikia amelichukua kimya kimya kama miezi miwili iliyopita ila kesho nitaenda ofisi za bunge kupata ushahidi. La visima nilisikia wakati Mustafa anatoa pesa kwa Chama ila sijaona mchakato wala mlishonyuma kuhusu hivyo visima au vinasubiri karibia 2015? Unajua mambo mengine yanahitaji taarifa tu basi sasa mkisema kitu kisha mkakaa kimya basi kila mtu anaweza kusema lake. Fungukeni mseme.
 
kwa kuwa kazungumzia cdm mnahitaji ushahidi, ila ingekuwa side b sijui ka ungeandika post ka hy.

hili mkuu umeliona, ushahidi unadaiwa kwa tuhuma dhidi ya cdm tu, ila kwa wale wenye ngozi ya kenge, ushahidi sio lazima! Kamwe huwezi kukuta comment imeandikwa 'source please', kwenye thread inayoeleza mabaya ya ccm/cuf! Bali utashuhudia maneno haya, "kilaza, masaburi, mananii ya miti, baba mwan***sha, ccm b, na mengineyo yasio na staha! Sijui ndio 'ugreat thinker' wa vipi huu?
 
user-offline.png
MWANAHALIS

Junior Member Array

Join Date : 7th March 2012
Posts : 3
Rep Power : 0
Likes Received0Likes Given7
 
wanacdm mtaua chama,wakat mwingne yawapasa kufkiri sana kabla ya kukurupuka kujbu,cdm inapendwa na wananch bas washaurin viongoz watoe ufafanuz,hayahaya ndo maana wameshindwa kumtimua shibuda(mzee wa ujira wa mwia),kwl nyie ndo watetez wa wanyonge au na nyiny n mafisad tu?mnakurupuka sana

Mkuu swala hapa ni taarifa. Ku,bukeni CDM si chama cha watu wachache ni chama cha watanzania walio wengi. Mzee Mustafa alitoa pesa ili kuwasidia watanzania ila akaamua kuzipitishia CDM na kuisapoti sasa mkikaa kimya inakuwa tabu kidogo kwa wananchi. Hizo pesa si za chama ni zetu sote. Kutakuwa na tofauti gani na CCM ambao wanakula kodi za wananchi? CDM inabidi ijipambanue kitofauti na CCM vinginevyo mtakosa imani ya wananchi.
 
cdm achen kupayuka jengen hoja bwana mnaboa sana,ila akiandikwa mkapa humu au ccm mnaleta pumba,akizungumzwa slaa au mbowe mnakuja juu,MTAUA CHAMA MAANA MNACHANGIA KISHABIKI SANA,NA WENGI WENU NI SERENGETI BOYS

tehe tehe... na wewe mnaongea kichama kwa sababu wengi wenu ni SERENGETI GIRLS au..tehe tehe usitake ncheke..
 
PESA nyingine toka kwenye account ya UCHAGUZI 2015 imetumika kujengea nyumba ya katibu mkuu Ndugu W.P.Slaa maeneo ya KUNDUCHI(amehamia hapo kunduchi mwaka huu).Kabla ya hapo alikuwa anaishi PALE ABLA APARTMENT pale Kijitonyama ambapo ameishi kwa muda wa miaka miwili na malipo ya kodi kwa siku ni Tsh.250,000(laki mbili na nusu,watanzania uzalendo wa Dr.Slaa upo wapi katika hili) ambapo pesa hiyo ilikuwa inalipwa na chama na hapo ndipo matokeo ya mgombea urais yalihesabiwa na kauli ya kwamba tumechakachuliwa ilitolewa hapo.

Dr.slaa anachukua posho akiwa katika kazi za ujenzi wa chama ambayo kwa siku analipwa Laki moja,Dreva wake analipwa 30000 na mlinzi wake analipwa 30000 hiyo ni mbali na mshara wa milioni saba (7000,000) kwa kila mwezi(wakati huo ikumbukwe makati wa kuu wa mikoa wa chama,makatibu wakuu wa wilaya n.k wa chadema hawalipwi chochote,hawapewi posho hata sent moja)...

Na pia kanisa analo sali mchumba wake CHAMA kinawalipa walinzi wawili lakitano kwa mwezi kila mmoja kwaajili ya ulinzi wa kanisa hilo analosali JOSEPHINE MSHUMBUSI.

.

Mkuu
1. Hiyo nyumba ni Slaa mwenyewe au Katibu mkuu wa chadema? iweke sawa hapa.
Kama ni ya katibu mkuu wa cdm kimahesabu watakuwa wameokoa hela nyingi za pango

2. Posho 100,000/= akiwa anafanya shughuli za chama mikoani? Dar au?
Je, waraka wa CDM kuhusu perdiem unasemaje?. Kwa upande wa serikali wa rank yake hulipwa 80,000/= na dereva sh. 45,000/= kama wanaenda mikoani. Vijijini na wilaya ndogo ndogo ni 65,000 kwa wakuu na 30,000/= madereva. NGOs inatofautiana kulingana na aina ya NGOs. Tunaomba ufafanunuzi wa hili

3. Hilo la kanisa tunaomba jina la kanisa na kama utaweza kutupatia stakabadhi za malipo hayo, ni kitu kisichowezekana na hawawezi kufanya hivyo

Kwa upande wa CDM
Tupeni taarifa kamili juu ya tuhuma hizi, ingawa hazina uhalisia wowote lakini ni vema mkatolea tamko kipengele kwa kipengele tukaelewa.
 
Mkuu hilo la gari nimesikia amelichukua kimya kimya kama miezi miwili iliyopita ila kesho nitaenda ofisi za bunge kupata ushahidi. La visima nilisikia wakati Mustafa anatoa pesa kwa Chama ila sijaona mchakato wala mlishonyuma kuhusu hivyo visima au vinasubiri karibia 2015? Unajua mambo mengine yanahitaji taarifa tu basi sasa mkisema kitu kisha mkakaa kimya basi kila mtu anaweza kusema lake. Fungukeni mseme.
swala la gari ni uzushi tu kwani kabla ya kusikia kutoka kwa watu wa mitaani ungeshasikia kutoka ofisi ya bibi pangu pakavu kwa maana si unajua kuwa ofisi hili hiko kisiasa zaidi kuliko kiutumishi.
swala la visimam ni swala la kimikakati zaidi kwahiyo soon utasikia nini kinafanyika.
 
1. jamani gari hilo kama analo angeendeshea wapi mbinguni au mbowe ana barabara zake binafsi anakoendeshea gari hilo.

2. swala la visima ni swala la mikakati zaidi kuliko ubadhilifu kwani maswala yote ya fedha yanashugulikiwa na kamati kuu na si swala la mtu mmoja kuamua namna yakutumia fedha rejea kwenye swala la mshahara wa katibu mkuu.

Yale yale ya CCM, masuala yenu yapo kwenye mchakato inabidi kwanza wananchi wapewe elimu ya uraia.
 
Kweli watu wanapenda kusikia wanayoyataka tu.
Hivi zile tuhuma alizozitoa Vincent dhidi ya Mkaa Hapa (Mkapa) zilikuwa na au zina ushahidi gani? Mbona sijasoma popote mkiomba ushahidi?
 
Back
Top Bottom