Huu ndo usingizi wa Kim Jong Un

Hah...jamaa anaonekana akilenga hakosei
Mkuu Daby kule wapo wengi wa kulenga, hebu cheki hapa. Sasa kama traffic Police unawakuta hawa barabarani, unaanzaje kwenda kwa speed, kwa mfano!!
 
sasa iyo suruali c anapoteza vitambaa tu yani anashindwa shona modo kwl ila kuna baadhi ya pigo km za kessy hv
 
Wanawake wa kikorea huwa ni wazuri sana usoni na miguu ila akigeuka nyuma unaweza kukimbia. Kitu flat screen kabisa tena ile ya samsung ultra slim
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…