Huu ndo usingizi wa Kim Jong Un

Kwenye picha ya shati jeupe huyu fyoko kabutua duku lake.Inawezekana alikuwa hajivikwa ufalme?
 
Mbona jamaa suruali pana vile ila wife Nyoko sanaa.
Hata mjeda aliyepo nyuma yake naye katinga design hiyo hiyo.Huyu mtu kenge wa kisawa sawa.Anachange sekunde yoyote ile.Mtiti wake Trump ni chekechea.
 
Sidhani km atakua anamfikisha watu wanene wengi huwezo wao mdogo kwenye Migegedo ukichanganyaa stress za Vita ndio kabisa hata Dushe litakua linasimama kwa kuvizia

Kiboko ya mabishoo
 
duu kweli nimeamini watoto wazuri wanawazimikia watu wale wagumu aiseee...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…