Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 6,315
- 6,375
... kwamba hujui Mwijaku ni COMEDIAN na LIVING MANNEQUIN?
Happy walking,tukutane Darajani JmosiMatajiri wa Osterbay wanaTanzania yao..
Imagine . Kuwa Kila siku ya jmos kuanzia saa 12 asubuh had saa 4 asubuh. Njia ile kuanzia Agha khan hosp kupigia daraja la tanzanite, uje barabara ya coco hadi karibia na police officers mess.
Inafungwa kwa ajili ya wakimbiaji na wanaofanya mazoezi.
Hakuna boda. Bajaji wala gar inahoruhusiwa kupita.
Ndio maana unaona barabara nyeupe.
Narudia. Ni Kila jmosi . Muda huo.
Seran siku moja jumuika huku.
Bro. Nimeanzia hapa Osterbay Estate. Karibia na wavuvi camp.Happy walking,tukutane Darajani Jmosi
Sikuona hii shem, sio nifike nianze kuhema kama nguruwe! Nilivyo mvivu sasa🤦🏽♀️Matajiri wa Osterbay wanaTanzania yao..
Imagine . Kuwa Kila siku ya jmos kuanzia saa 12 asubuh had saa 4 asubuh. Njia ile kuanzia Agha khan hosp kupigia daraja la tanzanite, uje barabara ya coco hadi karibia na police officers mess.
Inafungwa kwa ajili ya wakimbiaji na wanaofanya mazoezi.
Hakuna boda. Bajaji wala gar inahoruhusiwa kupita.
Ndio maana unaona barabara nyeupe.
Narudia. Ni Kila jmosi . Muda huo.
Seran siku moja jumuika huku.
I miss you More Shem.Shemeji haka ka hali kahewa katamu sana! Ulipotelea wapi? Umemisika!☺️
Pole sana shem lake!I miss you More Shem.
Ubusy busy tu.