Huu ndio uozo na ukiritimba na maajabu ya majibu ya 'Interview' ya TBS

Hilo linawezekana, endapo aliyechaguliwa ni KE, Mlemavu, Volunteer, Kazi maalum nk so punguza povu kuingilia fani za watu
 
Wakuu wanaJamiiForums,

Mambo ya ajabu kabisa yanatendeka katika taasisi hii nyeti ya Umma. Hawa mabwana waliitisha maombi ya Nafasi ya Kazi katika kitengo cha Food Science and Technology kada ya Quality Assurance Officer Daraja la Pili(II) baada ya kufanyika kwa usaili wa kuandika yaani Written Interview majibu yametoka lakini cha kushangaza mtu mwenye alama 53 za ufaulu amechaguliwa kwaajili ya hatua inayofuata huku wale ipanga wenye ufaulu wa 65,64,60,59 wakiachwa.

Ninyi maafisa wa TBS tunaomba kujua ni vigezo gani mnavitumia kuchambua wasailiwa?
Mkuu Kuchaguliwa siyo Kufaulu..... hapo inategemeana walipiga mstari tu. Huko Mbele kwenye Oral Intervview na Practical ndiko tutakakohitaji ufaul.. Pole
 
Yo chill out bro' ni maumivu ya kawaida kwenye harakati za kusaka ajira mimi nimeshuhudia mtu ambae hakufanya interview akizawadiwa ajira tukiachwa sisi ambao tulivuka hatua kama 3 ivi,shit happen jombaa muhimu endelea kupambana.
 
Interview haikusimamiwa na TBS bali sekretarieti ya ajira katika utumishi wa uma. Pia inawezekana kuna sababu za msingi kabisa za huyo mtu hapo juu kuchaguliwa.
 
Inawezekana huyo mwenye 53 ndio msichana pekee aliyefikia hatua hiyo, hivyo wana fanya gender balancing ili ofisi ichangamke
 
Wakuu wanaJamiiForums,

Mambo ya ajabu kabisa yanatendeka katika taasisi hii nyeti ya Umma. Hawa mabwana waliitisha maombi ya Nafasi ya Kazi katika kitengo cha Food Science and Technology kada ya Quality Assurance Officer Daraja la Pili(II) baada ya kufanyika kwa usaili wa kuandika yaani Written Interview majibu yametoka lakini cha kushangaza mtu mwenye alama 53 za ufaulu amechaguliwa kwaajili ya hatua inayofuata huku wale ipanga wenye ufaulu wa 65,64,60,59 wakiachwa.

Ninyi maafisa wa TBS tunaomba kujua ni vigezo gani mnavitumia kuchambua wasailiwa?
Huyo mwenye 53% yawezekana ni mtoto wa Kigogo mmojawapo, huwezi jua Mkuu.
 
Mkuu punguza Povu.
Huyo Jamaa ni mlemavu na huwa wana added advantage kwenye interview.

Namjua vzr tu.

Sent From Ikulu-Magogoni street
 
Kuna jipu hapo kwa walioandika hiyo list... hawana hata aibu kabisaaaaaaa

Mazoea yao hayo... bora umeweka humu mabosi wao wajioneee yale yale ambayo Mkulu hataki kuyaona awamu hii...
 
Mkuu punguza Povu.
Huyo Jamaa ni mlemavu na huwa wana added advantage kwenye interview.

Namjua vzr tu.

Sent From Ikulu-Magogoni street
TBS 0047 ni namba ya siri ya mtahiniwa wewe umewezaje kujua ni nani? Wewe ni ndio msahihishaji?
 
Back
Top Bottom