Huu ndio ukweli mtupu

Huu ndio ukweli mtupu

Magufuli...huyu mtu uraisi hapana,..yeye awe kiungo tu apo kati kati...ila uongozi kafda kuuu hapana
 
Mbona anaeleweka sana aisee danjingo! Nimetumia fomula aliyoitaja pamoja na kuongezea za kwangu nikaielewa thread vizuri sana. Asante mleta mada.Kumbe ccm wanajua kuchimbana hivyo?

Ni kwa maslahi ya taifa!
 
Last edited by a moderator:
Mimi huwa simumunyi maneno, mgonjwa aliyekatwa ni Lowassa, aliyeko 5 bora ni mama yetu, nukta.
 
We mwenyewe unatafuta hao watu uwafanye mitaji.. .kama mbinu unazo kalale kwako na uendelee piga hizo pesa
 
Mpwa ujifanye mgonjwa ukae hospital miezi mitatu wasijue kuwa huumwi? Hilo linawezekana Muhimbili tu sio Ujerumani Mpwa. Hawapimi kwa macho wale wanatumia machine

Hata dispensary ya Palestina Sinza watagundua hauumwi. Miezi mitatu!!
 
Huku Taifa Likiwa Limegawanyika Nikimaanishwa Wengine Tunacheka Na Kufurahi ( I Inclusive ) Na Wengine Wakiwa Wamenuna, Wanalia Na Wamelala Na Vidonge Pembezoni Mwa Vitanda Vyao Wakisubiri Jinsi Gani Watatubu Kwa Mwenyezi Mungu Dhambi Kubwa Walizozifanya Ndani Ya Miezi 2 Hii Ya Hekaheka Za Utiaji Nia Na Ugombeaji Urais Ndani Ya Chama Tawala Cha CCM.

Je UKWELI Ni UPI?

Sitataja Jina Ila Itabidi Wewe Mwenyewe Ujiongeze Kama Wasemavyo Wasukuma. Ukweli Ni Kwamba Kuna Mtangaza Nia Mmoja Anataka Kuwahadaa Watanzania Kuwa Anachukiwa Na Amedhulumiwa ILI Apate Tu Public Sympathy ILA UKWELI Ni KWAMBA Huyo MTIA Nia Japo Alificha Na Hakutaka Watanzania wajue Lakini Kupitia Vijana Wa Tanzania Ambao WAMEPIKWA Na WAKAPIKIKA Katika Masuala Mazima Ya UJASUSI Na UDUKUZI Duniani Walio Na Ofisi Yao Makao Makuu Oysterbay Mkabala Na Multi Choice Tanzania Wawili Walitumwa Kwenda Katika Hiyo Hospitali Ambayo Yeye Huwa Anaenda Katika Nchi Ambayo IMEWAHI Kuwa MTAWALA Wetu Na Walipofika Huko Wakajifanya Na Wao Wanaumwa Na Wakapiga Kambi Hapo Kwa Takribani Miezi 3 Na Wakarudi Na Kila Kitu Cha Kuhusu AFYA TIMILIFU Ya Huyo MTIA Nia.

Ukweli Ni Kwamba Ripoti Ya Kitabibu Na Kauli Za Madaktari Waliokuwa Wanamuhudumia Huko Inasema Kwamba Huyo MTIA NIA ANA UGONJWA AMBAO UTAMFANYA AISHI MIAKA 3 KWANI TATIZO LAKE HALINA JINSI NA HAWAKUISHIA HAPO BALI ALISHAURIWA PIA KUWA ASIJIHUSISHE NA MASUALA YOYOTE YA HARAKATI ZA KISIASA KWA KUZINGATIA AFYA YAKE AMBAYO KATIKA MACHO YETU SISI WATANZANIA INAONEKANA NI NZURI ILA KATIKA MACHO YA MADAKTARI WANAONA MAREHEMU MTARAJIWA WA MUDA NA WAKATI WOWOTE.

Hivyo Basi Hata Hao CCM Wanazuga Tu Lakini UKWELI Ni Kwamba AMESULUBIWA KIPILATO Kwa Suala Lake Hili Tu La KIAFYA Na Huko Kwingine Sijui Rushwa Na Kadhalika Ni Mbwembwe Tu Na Kuna MGOMBEA Mwingine Pia AMBAYE AMEINGIA 5 Bora Lakini Na Yeye Pia ATALIMWA KIPILATO Kwani Na YEYE Kiafya Hayuko Vizuri JAPO ANAWEZA Kuishi Kwa MATUMAINI Lakini Watu Wanaogopa ASIJE SIKU AKASAHAU KUNYWA Vile VIDONGE Vyetu Na AKATUFIA GHAFLA Yakawa Ya Akina Michael Satta.

Breaking News Yangu Ndiyo Hiyo Kama Nilivyowaahidini Jana Usiku Wa Saa 8 Kuwa Nikiamka Salama Leo Asubuhi NITAWAPAKULIENI Ila Tu Sitaki MNIULIZE Ni Akina Nani Hao Isipokuwa Nyie Kwa Maelezo Yangu Tu Hayo JIONGEZENI Na Tumieni Formula Ya MAGAZIJUTO Mtawajua.

Asubuhi Njema Nyote.
Acha mambo yako ya kingese wewe. Huyo mtia nia anakutia wewe? Unakubali kutumika kama mtiwa nia
 
Hahahahaaa hahahaaa sasa Mpwa kama unaleta mada tujadili halafu tukiomba ufafanuzi unakimbilia huko aaafgg OK nimeshindwa. Nakaa kimya basi ila ujasusi wa kujifanya mgonjwa haupo kwenye dunia hio unayojaribu kuielezea labda huku kijijijini kwetu ambako wagonjwa hupimwa kwa macho
Hahahaa elli nami nilitaka kuuliza hilo. Aisee Basi sisi noma hadi kuweza kujifanya mgonjwa miezi mi 3 na kitumia mda huo kuchunguza mafaili ya mtu mwingine Hahahahahaha. Hizi ni zile story wanapigaga the illiterate I am surprised this guy can even type with that level of intelligence.
 
JF rudisheni accessibility ya JF kwa guest? Kwa nini muda huu tu?, mbona siku zingine access ipo?
 
Huku Taifa Likiwa Limegawanyika Nikimaanishwa Wengine Tunacheka Na Kufurahi ( I Inclusive ) Na Wengine Wakiwa Wamenuna, Wanalia Na Wamelala Na Vidonge Pembezoni Mwa Vitanda Vyao Wakisubiri Jinsi Gani Watatubu Kwa Mwenyezi Mungu Dhambi Kubwa Walizozifanya Ndani Ya Miezi 2 Hii Ya Hekaheka Za Utiaji Nia Na Ugombeaji Urais Ndani Ya Chama Tawala Cha CCM.

Je UKWELI Ni UPI?

Sitataja Jina Ila Itabidi Wewe Mwenyewe Ujiongeze Kama Wasemavyo Wasukuma. Ukweli Ni Kwamba Kuna Mtangaza Nia Mmoja Anataka Kuwahadaa Watanzania Kuwa Anachukiwa Na Amedhulumiwa ILI Apate Tu Public Sympathy ILA UKWELI Ni KWAMBA Huyo MTIA Nia Japo Alificha Na Hakutaka Watanzania wajue Lakini Kupitia Vijana Wa Tanzania Ambao WAMEPIKWA Na WAKAPIKIKA Katika Masuala Mazima Ya UJASUSI Na UDUKUZI Duniani Walio Na Ofisi Yao Makao Makuu Oysterbay Mkabala Na Multi Choice Tanzania Wawili Walitumwa Kwenda Katika Hiyo Hospitali Ambayo Yeye Huwa Anaenda Katika Nchi Ambayo IMEWAHI Kuwa MTAWALA Wetu Na Walipofika Huko Wakajifanya Na Wao Wanaumwa Na Wakapiga Kambi Hapo Kwa Takribani Miezi 3 Na Wakarudi Na Kila Kitu Cha Kuhusu AFYA TIMILIFU Ya Huyo MTIA Nia.

Ukweli Ni Kwamba Ripoti Ya Kitabibu Na Kauli Za Madaktari Waliokuwa Wanamuhudumia Huko Inasema Kwamba Huyo MTIA NIA ANA UGONJWA AMBAO UTAMFANYA AISHI MIAKA 3 KWANI TATIZO LAKE HALINA JINSI NA HAWAKUISHIA HAPO BALI ALISHAURIWA PIA KUWA ASIJIHUSISHE NA MASUALA YOYOTE YA HARAKATI ZA KISIASA KWA KUZINGATIA AFYA YAKE AMBAYO KATIKA MACHO YETU SISI WATANZANIA INAONEKANA NI NZURI ILA KATIKA MACHO YA MADAKTARI WANAONA MAREHEMU MTARAJIWA WA MUDA NA WAKATI WOWOTE.

Hivyo Basi Hata Hao CCM Wanazuga Tu Lakini UKWELI Ni Kwamba AMESULUBIWA KIPILATO Kwa Suala Lake Hili Tu La KIAFYA Na Huko Kwingine Sijui Rushwa Na Kadhalika Ni Mbwembwe Tu Na Kuna MGOMBEA Mwingine Pia AMBAYE AMEINGIA 5 Bora Lakini Na Yeye Pia ATALIMWA KIPILATO Kwani Na YEYE Kiafya Hayuko Vizuri JAPO ANAWEZA Kuishi Kwa MATUMAINI Lakini Watu Wanaogopa ASIJE SIKU AKASAHAU KUNYWA Vile VIDONGE Vyetu Na AKATUFIA GHAFLA Yakawa Ya Akina Michael Satta.

Breaking News Yangu Ndiyo Hiyo Kama Nilivyowaahidini Jana Usiku Wa Saa 8 Kuwa Nikiamka Salama Leo Asubuhi NITAWAPAKULIENI Ila Tu Sitaki MNIULIZE Ni Akina Nani Hao Isipokuwa Nyie Kwa Maelezo Yangu Tu Hayo JIONGEZENI Na Tumieni Formula Ya MAGAZIJUTO Mtawajua.

Asubuhi Njema Nyote.
umejaza kimba tupu
 
Majasusi WA kibonge kukaa ujerumani kwa miezi MITATU kupata ripoti simpo hivyo?? Nao mafisadi tu
 
Mpwa ujifanye mgonjwa ukae hospital miezi mitatu wasijue kuwa huumwi? Hilo linawezekana Muhimbili tu sio Ujerumani Mpwa. Hawapimi kwa macho wale wanatumia machine
Watanzania kila mtu ni mgonjwa tena ukienda huko Ulaya kwa natembezi ukaamua kupima afya yako watashangaa umefikaje bila kufia njiani na watakuuliza umekuja na nani.
 
Any way hayo yote ni mtazamo tu kutoka kwa mtoa uzi ak sred so hakuna haja ya kumbishia saaaaaanaaaa
 
Kama Yaliyopo Pia Katika Ubongo Wako.

Kaka yangu GENTAMYCINE ahsante kwa taarifa!!mimi furaha yangu kubwa leo ni kwamba ;Ahsante LOWASSA kwa kutujengea shule,makanisa,misikiti na bodaboda zetu kutujazia mafuta,watoto wametibiwa magonjwa sugu,watu wamejitolea damu,na mengineyo mema mengi!!!

Hakika pesa zetu zilizoibwa kupitia Richmond zimerudi na zimetunufaisha sana!ila pole sana EL kwa ugonjwa.
 
Back
Top Bottom